Zitto ataka kampuni ya umma bandari ya Dar
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Zitto Kabwe amependekeza kuanzishwa kwa Kampuni ya umma itakayokuwa inahusika kufanya shughuli za kupakia na kupakua mizigo katika bandari ya Dar es Salaam badala ya utaratibu wa sasa ambao ni wa kampuni binafsi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog08 Apr
Zanzibar kujengwa Bandari kubwa chini ya Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya Jamuhuri ya Watu wa China (CHEC)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Muwakilishi wa Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya China yenye Tawi la Ofisi yake Nchini Tanzania Bwana Xu Xinpei.
Muwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi wa Bandari ya China Bwana Xu Xinpei akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif. Bwana Xu Xinpei ameelezea azma ya Kampuni yake kutaka kuwekeza katika sekta na Bandari na Hoteli ya Kimataifa ya Kitalii hapa Zanzibar.
Balozi wa Malawi...
10 years ago
MichuziWaziri wa Fedha afanya ziara kwenye bandari kavu ya kampuni ya THR jijini Dar leo
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ycvQ9Nlbv4M/U3hmNa-paZI/AAAAAAAFjZA/V_g9AiShW-Y/s72-c/unnamed+(24).jpg)
EPZA yafikia makubaliano na kampuni kuendeleza eneo huru bandari Mtwara
10 years ago
Mtanzania02 Mar
Zitto: Chenge afungiwe uongozi wa umma
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
WAKATI Tume ya Maadili ya Utumishi wa Umma ikiendelea na mvutano wa sheria na Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, amesema mbunge huyo alistahili kufungiwa kushiriki kwenye uongozi wa umma muda mrefu.
Zitto aliliambia Mtanzania kuwa tangu izuke kashfa ya rada ambayo pia Chenge alihusishwa, tume ya maadili ilipaswa kumuhoji na kumchukulia hatua kali za sheria.
“Chenge...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Zitto: Fedha za Escrow ni mali ya umma
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema kuwa dola za Marekani milioni 250 zilizopaswa kuendelea kuwapo katika akaunti ya ‘Tegeta Escrow’ ni mali ya serikali na hivyo ni mali...
10 years ago
Habarileo31 Oct
JK ataka weledi utumishi wa umma
UTUMISHI wa Umma nchini umetakiwa kubadilika katika utendaji wao ili kuwa wawezeshaji zaidi badala ya wakwamishaji katika kutoa maamuzi muhimu ya utendaji wa shughuli mbalimbali nchini.
10 years ago
Habarileo24 Jun
Mwinyi ataka maboresho utumishi wa umma
RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amewataka watumishi wa umma kufanyia kazi mapendekezo yaliyotolewa na washiriki katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, ili kuwa na utumishi uliotukuka kwa ustawi wa Taifa.
11 years ago
Habarileo02 Jan
Ataka Zitto afutwe Chadema
MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) ametaka wana Chadema kuunga mkono mpango wa kumfuta uanachama aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wao, Kabwe Zitto.