Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto: Fedha za Escrow ni mali ya umma

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema kuwa dola za Marekani milioni 250 zilizopaswa kuendelea kuwapo katika akaunti ya ‘Tegeta Escrow’ ni mali ya serikali na hivyo ni mali...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Fedha za Escrow ni mali ya umma

KWA mara nyingine serikali kupitia viongozi na watendaji wake akiwamo Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), wamedai kwamba kiasi cha dola za Marekani milioni 250 zilizopaswa kuendelea kuwapo katika ‘Tegeta Escrow...

 

11 years ago

Zitto Kabwe, MB

Fedha za zilizokuwa katika akaunti maalumu ya IPTL, (Tegeta Escrow account) ni mali ya umma

Fedha za zilizokuwa katika akaunti maalumu ya IPTL, (Tegeta Escrow account) ni mali ya umma

TWO-MBILI  Courtesy:The Citizen

TWO-MBILI
Courtesy:The Citizen

Fedha za zilizokuwa katika akaunti maalumu ya IPTL, (Tegeta Escrow account) ni mali ya umma

Zitto Kabwe

Kwa mara nyingine serikali kupitia viongozi na watendaji wake akiwamo Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), wamedai kwamba kiasi cha Dola za Marekani milioni 250 zilizopaswa kuendelea kuwapo katika ‘Tegeta Escrow Account’ si mali ya serikali na hivyo si mali ya umma....

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri Prof Muhongo asema fedha za Escrow si mali ya umma, adai bado Serikali inadaiwa

Sakata la uchotwaji wa fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow linaendelea kuchukua sura mpya baada ya Waziri wa Nishati na Madini, Prof Sospeter Muhongo kutoa ufafanuzi wa Serikali bungeni mjini Dodoma kuwa fedha hizo si za umma na kwamba bado Serikali ina mzigo wa madeni katika sakata hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mabilioni escrow mali ya umma

Ripoti ya sakata la uchotaji wa Dola za Marekani 200 milioni katika akaunti ya Tegeta Escrow iliyotua bungeni wiki iliyopita, imeibua mambo mazito baada ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kugundua kuwa fedha zilizochotwa kwenye akaunti hiyo zilikuwa mali ya Tanesco.

 

10 years ago

Habarileo

Muhongo: Fedha za Escrow si za umma

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoSERIKALI imesema kuwa fedha zilizokuwamo katika akaunti ya Tegeta Escrow ya wanahisa wa Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), hazikuwa za umma, na ilichukua tahadhari ya kutosha dhidi ya madai mengine yanayoweza kujitokeza kabla ya kutolewa kwa fedha katika akaunti hiyo iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

10 years ago

Habarileo

Werema asisitiza fedha za Escrow si za umma

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana. Katikati ni Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge. (Na Mpigapicha Wetu).MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Federick Werema, amesema kwa msimamo wake, fedha za akaunti ya Tegeta Escrow zilizokuwa katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), hazikuwa za umma na sakata la Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), ni upuuzi.

 

10 years ago

Mwananchi

CAG, Takukuru, TRA: Fedha za Escrow za umma

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imesisitiza kuwa fedha zilizochukuliwa kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow Sh306 bilioni ni za umma na waliohusika katika sakata hilo wachukuliwe hatua kali na za kinidhamu.

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA FEDHA YAWAPA SEMINA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MRADI WA MABORESHO YA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA

 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma akifafanua jambo wakati wa warsha ya siku tano kuhusu mradi wa maboresho ya matumizi ya fedha za umma inayoendelea katika Hoteli Njuweni Kibaha. Bi.Ingiahedi alisema kuwa Serikali ya Tanzania ilianzisha mradi huo kwa madhumuni ya kuimarisha mifumo ya matumizi ya fedha katika ngazi zote.  Mradi huu umekuwa wa awamu 4 kutokana na mafanikio yanayojitokeza na changamoto.
Alisema kuwa Mpaka sasa mradi huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani