WIZARA YA FEDHA YAWAPA SEMINA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MRADI WA MABORESHO YA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma akifafanua jambo wakati wa warsha ya siku tano kuhusu mradi wa maboresho ya matumizi ya fedha za umma inayoendelea katika Hoteli Njuweni Kibaha. Bi.Ingiahedi alisema kuwa Serikali ya Tanzania ilianzisha mradi huo kwa madhumuni ya kuimarisha mifumo ya matumizi ya fedha katika ngazi zote. Mradi huu umekuwa wa awamu 4 kutokana na mafanikio yanayojitokeza na changamoto.
Alisema kuwa Mpaka sasa mradi huo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog14 May
Mradi wa Maboresho Matumizi ya Fedha za Umma Wafanikiwa
Msemaji wa Wizara ya Fedha, Bi. Ingiahedi Mduma (wa kwanza kulia) akitoa ufafanuzi kwa wanahabari wanaoshiriki semina juu ya taarifa ya Mradi wa Maboresho ya Matumizi ya Fedha za Umma (PFMRP) mjini Kibaha. (Picha na Thehabari.com)
MRADI wa Maboresho ya Matumizi ya Fedha za Umma (PFMRP) umefanikiwa kuboresha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma hasa katika eneo la ukaguzi wa fedha katika taasisi na idara mbalimbali za Serikali. Kauli hiyo imetolewa jana Mjini Kibaha na Msemaji wa Wizara ya...
10 years ago
Michuzi15 May
Changamoto za maboresho ya usimamizi wa fedha za umma zatajwa
Mratibu wa Mradi huo,Bwa.Sebastian Ndandala ametaja changamoto hizo leo mjini Kibaha alipokuwa akiwasilisha mada kwa waandishi wa habari pamoja na waendeshaji wa mitandao ya jamii ikiwa ni hatua ya kushirikisha vyombo vya habari juu ya utekelezaji wa...
10 years ago
Michuzi15 May
Changamoto maboresho usimamizi wa fedha za umma zatajwa
10 years ago
MichuziMABORESHO YA USIMAMIZI FEDHA ZA UMMA YANAVYOBORESHA MAISHA
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Matumizi fedha za mradi yamfurahisha waziri
NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama amefurahishwa na matumizi mazuri ya fedha za mradi wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu unaolenga kuboresha sayansi na teknojia...
10 years ago
StarTV04 Mar
Udhibiti matumizi fedha za umma, halmashauri kushindanishwa kiutendaji.
Na Gloria Matola,
Dar es Salaam.
Serikali inatarajia kuanza utaratibu mpya wa kuzishindanisha Halmashauri zote nchini kiutendaji ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wake wa kuondoa matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kutoa tuzo kwa zile zitakazoshinda kwa matumizi mazuri ya fedha hizo.
Tanzania ina jumla ya Halmashauri 168 zilizoshiriki ambapo 49 miongoni mwao zimeweza kukidhi mahitaji ya shindano hilo.
Waziri wa nchi ofisi ya Rais, Utumishi Hawa Ghasia amesema hivi sasa...
10 years ago
Dewji Blog20 Mar
Matumizi mabaya ya fedha za umma, serikali yapoteza bilioni 250/-
Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Dk. Helen Kijo-Bisimba, wakati akitoa taarifa juu ya mwenendo na hatua za kisheria kwa viongozi wa umma wanaokiuka maadili.Katikati ni Mkurugenzi wa Ujengaji Uwezo na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda Urrio na kulia ni Ofisa Programu Dawati la Waangalizi Watendaji...
11 years ago
MichuziTANGAZO KWA UMMA KUTOKA WIZARA YA FEDHA
Taarifa hizo ziliendelea kudai kwamba Waheshimiwa Wabunge watakapostaafu watastahili kulipwa shilingi 160 milioni kila mmoja.
Kwa kupitia tangazo hili, tunaeleza kwamba, Mheshimiwa Waziri wa Fedha hajawahi kuongea na Mwandishi wa Habari...