Matumizi mabaya ya fedha za umma, serikali yapoteza bilioni 250/-
Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Dk. Helen Kijo-Bisimba, wakati akitoa taarifa juu ya mwenendo na hatua za kisheria kwa viongozi wa umma wanaokiuka maadili.Katikati ni Mkurugenzi wa Ujengaji Uwezo na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda Urrio na kulia ni Ofisa Programu Dawati la Waangalizi Watendaji...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Dec
Serikali yakiri matumizi mabaya ya fedha zake
5 years ago
CCM BlogKAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI BILIONI 250, WAZIRI WA FEDHA AHUTUBIA HAFLA HIYO
Na Farida Ramadhani na Josephine Majura
KAMPUNI ya Barrick imeilipa Tanzania dola milioni 100, sawa na takriban sh. bilioni 250, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ya Madini ilikubali kulipa kama fidia ya kodi.
Mfano wa Hundi ya kiasi hicho cha fedha imekabidhiwa na Meneja Mkazi wa Kampuni ya Barrick, Bw. Hilaire Diarra kwa Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, kwa niaba ya Serikali, Jijini Dodoma leo Mei 26, 2020.
Akizungumza baada ya kupokea...
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Wananchi walalamikia matumizi mabaya ya fedha
WANANCHI wilayani Bunda, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha madiwani wa wilaya hiyo, kutumia fedha na kuunda tume ya watu watatu, akiwemo mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Joseph Malimbe, kwenda kumuona Katibu...
10 years ago
MichuziWIZARA YA FEDHA YAWAPA SEMINA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MRADI WA MABORESHO YA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA
Alisema kuwa Mpaka sasa mradi huo...
10 years ago
MichuziSERIKALI KUDHIBITI MATUMIZI MABAYA YA TEHAMA.
11 years ago
Habarileo03 May
‘Andikeni matumizi mabaya ya pesa za serikali’
NAIBU Waziri wa Fedha, Adam Malima amewataka waandishi wa habari nchini, kuandika habari zenye kuonesha matumizi mabaya ya fedha za serikali kwa lengo la kuzuia matumizi mabaya na kuwaletea maendeleo wananchi.
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Matumizi mabaya ya Serikali yalitesa Taifa la Tanzania
10 years ago
MichuziSerikali yawatahadharisha wananchi kuhusu matumizi mabaya ya Mawasiliano
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) bw. Innocent Mungy amesema kumekuwa na watu wachache wanaotumia mawasiliano pasipo kuzingatia sheria na kanuni.
Kumekuwa na matukio yanayoashiria kutumika kwa mitandao ya kijamii kuleta madharambalimbali kwa watumiaji...
10 years ago
Vijimambo24 Nov