Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI KUDHIBITI MATUMIZI MABAYA YA TEHAMA.

 Makamu Mkuu wa Chuo cha Bagamoyo.Profesa Costa Mahalu akizungumza na waandishi wa habari leo juu ya utumiaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) katika semina iliyofanyika leo katika hoteli ya New Afrika,Jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi,Teknolojia na Mawasiliano,Profesa Patrick Makungu akizungumza na waandishi wa habari leo juu ya utumiaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) katika semina iliyofanyika leo katika hoteli ya New Afrika,Jijini Dar es...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YABORESHA MATUMIZI YA TEHAMA KUDHIBITI CORONA

Na Magreth Kinabo- Mahakama
TEHAMA

Mahakama ya Tanzania imesikiliza jumla ya mashauri 1,519 kupitia Mahakama Mtandao (Video Conferencing) kati ya Machi 23 hadi Aprili 21mwaka huu ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Jaji Mkuu wa Tanzania alilolitoa Machi 23 mwaka huu.

Ambapo akiitaka Mahakama kutumia Tekknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika kupambana na ugonjwa wa COVID 19 unaosababishwa na virusi vya Corona.

Mkurugenzi Msaidizi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa Mahakama...

 

11 years ago

Habarileo

‘Andikeni matumizi mabaya ya pesa za serikali’

NAIBU Waziri wa Fedha, Adam Malima amewataka waandishi wa habari nchini, kuandika habari zenye kuonesha matumizi mabaya ya fedha za serikali kwa lengo la kuzuia matumizi mabaya na kuwaletea maendeleo wananchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yakiri matumizi mabaya ya fedha zake

Serikali imekiri kuwa na nidhamu ‘mbovu’ katika matumizi ya fedha, jambo linaloyumbisha bajeti zake mara kwa mara

 

11 years ago

Mwananchi

Matumizi mabaya ya Serikali yalitesa Taifa la Tanzania

Kwa kipindi kirefu, Serikali imekuwa na mikakati mbalimbali yenye lengo la kuboresha maisha ya Watanzania na kukuza uchumi wa taifa kwa jumla.

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yawatahadharisha wananchi kuhusu matumizi mabaya ya Mawasiliano

Serikali yawatahadharisha wananchi kuhusu matumizi mabaya ya Mawasiliano na udanganyifu katika usajili wa namba za simu za mkononi kwa kuwa ni kosa la jinai.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Meneja Mawasiliano wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) bw. Innocent Mungy amesema kumekuwa na watu wachache wanaotumia mawasiliano pasipo kuzingatia sheria na kanuni.
Kumekuwa na matukio yanayoashiria kutumika kwa mitandao ya kijamii kuleta madharambalimbali kwa watumiaji...

 

10 years ago

Dewji Blog

Matumizi mabaya ya fedha za umma, serikali yapoteza bilioni 250/-

Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Dk. Helen Kijo-Bisimba, wakati akitoa taarifa juu ya mwenendo na hatua za kisheria kwa viongozi wa umma wanaokiuka maadili.Katikati ni Mkurugenzi wa Ujengaji Uwezo na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda Urrio na kulia ni Ofisa Programu Dawati la Waangalizi Watendaji...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yapiga marufuku  matumizi mabaya ya mipaka kwa vyombo vya habari

Serikali imepiga marufuku matumizi mabaya ya ramani ya Tanzania kwa vyombo vya habari nchini ikiwa ni pamoja na uuzwaji wa Ramani hizo mitaani.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Assa Mwambene alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Assa Mwambene amesema vyombo vya habari hapa nchini vimekuwa vikitumia ramani ya Tanzania isivyo sahihi ambayo inaonyesha ziwa nyasa kuwa upande wa nchi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kudhibiti matumizi kemikali

>Katika kupambana na matumizi mabaya ya kemikali, Serikali inaandaa kanuni zitakazosimamia matumizi mabaya ya kemikali hizo hapa nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani