Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yawatahadharisha wananchi kuhusu matumizi mabaya ya Mawasiliano

Serikali yawatahadharisha wananchi kuhusu matumizi mabaya ya Mawasiliano na udanganyifu katika usajili wa namba za simu za mkononi kwa kuwa ni kosa la jinai.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Meneja Mawasiliano wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) bw. Innocent Mungy amesema kumekuwa na watu wachache wanaotumia mawasiliano pasipo kuzingatia sheria na kanuni.
Kumekuwa na matukio yanayoashiria kutumika kwa mitandao ya kijamii kuleta madharambalimbali kwa watumiaji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Matumizi mabaya ya mitandao inashusha maana ya mawasiliano

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John NkomaUTUMIAJI mbaya wa huduma za simu na mtandao unaofanywa na baadhi ya Watanzania ndio chanzo cha mambo ya hovyo na yasiyo ya maadili katika huduma ya mawasiliano.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi walalamikia matumizi mabaya ya fedha

WANANCHI wilayani Bunda, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha madiwani wa wilaya hiyo, kutumia fedha na kuunda tume ya watu watatu, akiwemo mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Joseph Malimbe, kwenda kumuona Katibu...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KUDHIBITI MATUMIZI MABAYA YA TEHAMA.

 Makamu Mkuu wa Chuo cha Bagamoyo.Profesa Costa Mahalu akizungumza na waandishi wa habari leo juu ya utumiaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) katika semina iliyofanyika leo katika hoteli ya New Afrika,Jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi,Teknolojia na Mawasiliano,Profesa Patrick Makungu akizungumza na waandishi wa habari leo juu ya utumiaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) katika semina iliyofanyika leo katika hoteli ya New Afrika,Jijini Dar es...

 

11 years ago

Habarileo

‘Andikeni matumizi mabaya ya pesa za serikali’

NAIBU Waziri wa Fedha, Adam Malima amewataka waandishi wa habari nchini, kuandika habari zenye kuonesha matumizi mabaya ya fedha za serikali kwa lengo la kuzuia matumizi mabaya na kuwaletea maendeleo wananchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yakiri matumizi mabaya ya fedha zake

Serikali imekiri kuwa na nidhamu ‘mbovu’ katika matumizi ya fedha, jambo linaloyumbisha bajeti zake mara kwa mara

 

11 years ago

Mwananchi

Matumizi mabaya ya Serikali yalitesa Taifa la Tanzania

Kwa kipindi kirefu, Serikali imekuwa na mikakati mbalimbali yenye lengo la kuboresha maisha ya Watanzania na kukuza uchumi wa taifa kwa jumla.

 

10 years ago

Dewji Blog

Matumizi mabaya ya fedha za umma, serikali yapoteza bilioni 250/-

Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Dk. Helen Kijo-Bisimba, wakati akitoa taarifa juu ya mwenendo na hatua za kisheria kwa viongozi wa umma wanaokiuka maadili.Katikati ni Mkurugenzi wa Ujengaji Uwezo na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda Urrio na kulia ni Ofisa Programu Dawati la Waangalizi Watendaji...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yapiga marufuku  matumizi mabaya ya mipaka kwa vyombo vya habari

Serikali imepiga marufuku matumizi mabaya ya ramani ya Tanzania kwa vyombo vya habari nchini ikiwa ni pamoja na uuzwaji wa Ramani hizo mitaani.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Assa Mwambene alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Assa Mwambene amesema vyombo vya habari hapa nchini vimekuwa vikitumia ramani ya Tanzania isivyo sahihi ambayo inaonyesha ziwa nyasa kuwa upande wa nchi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani