Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zanzibar kujengwa Bandari kubwa chini ya Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya Jamuhuri ya Watu wa China (CHEC)

119

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Muwakilishi wa Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya China yenye Tawi la Ofisi yake Nchini Tanzania Bwana Xu Xinpei.

121

Muwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi wa Bandari ya China Bwana Xu Xinpei akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif. Bwana Xu Xinpei ameelezea azma ya Kampuni yake kutaka kuwekeza katika sekta na Bandari na Hoteli ya Kimataifa ya Kitalii hapa Zanzibar.

006

Balozi wa Malawi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA BANDARI MPYA YA MPIGADURI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Mkuu wa Shirika la Bandari Mbarouk Hamadi Mbarouk (wa pili kushoto) wakati alipotembelea Eneo la Ujenzi wa Bandari Mpya ya kisasa Mpigaduri Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi itakayojengwa Kampuni ya CHINA HARBOUR ENGINEERING COMPANY LTD (CHEC) kutoka Nchini China,(kushoto) Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi. Rais wa Zanzibar na...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar awasilisha agizo la Serikali yake kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar

Balozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar Bwana Xie Yunliang akiwasilisha agizo la Serikali yake kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi la kuridhia na kukubali kusaidia Ujenzi wa uwanja wa Michezo wa Mau Tse Tung uliopo Mtaa wa Mperani - Kikwajuni Mjini Zanzibar. Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Xie Yunliang akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake ndani ya Jewngo la Pius Msekwa Bungeni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na kiongozi wa kampuni ya gesi ya Qatar na kutembelea eneo la ujenzi wa bandari mpya ya Qatar.

PG4A5517

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw.  Otty Msuku  ambaye ni Mtanzania ,  Mtalaamu wa upimaji ardhi katika mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar  wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa bandari hiyo akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 22, 2014. Katikati ni Mkurugenzi mwendeshaji wa Mradi huo, Don Morrison. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5521

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar, Bw. Yusuf...

 

11 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar afanya mazungumzo na Balozi Mdogo wa Serikali ya Jamuhuri ya Watu wa China

Balozi Mdogo wa Serikali ya Jamuhuri ya Watu wa China Bwana Xie Yunliang akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Balozi Mdogo wa Serikali ya Jamuhuri ya Watu wa China Bwana Xie Yunlia aliyefika Ofisini kwake kusalimiana naye. Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI

 

9 years ago

BBCSwahili

Tanzania kujenga bandari kubwa zaidi Afrika Mashariki

Tanzania imeanzisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo inayopangiwa kuwa bandari kubwa zaidi Afrika Mashariki.

 

10 years ago

Habarileo

TPA yaonya ujenzi wa bandari ya Mwambani

Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano wa TPA, Janeth RuzangiMAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeonya kwamba ni kinyume cha Sheria Namba 17 ya Bandari ya Mwaka 2004 kwa taasisi au mtu binafsi, kuendeleza, kusimamia na kuendesha bandari yoyote nchini bila ya kibali chake.

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yasisitiza ujenzi Bandari ya Mwambani

Samuel-Sitta1NA OSCAR ASSENGA
SERIKALI imesema mpango wa ujenzi wa bandari mpya ya Mwambani mkoani Tanga upo kama ulivyopangwa.
Kujengwa kwa bandari hiyo, imeelezwa itakuwa ni kichocheo cha mabadiliko ya kiuchumi ndani ya Mkoa wa Tanga ambapo shehena za mizigo zitaongezeka mara dufu kuliko ilivyo sasa.
Hayo yalibainishwa na Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, wakati akizungumza na wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) Mkoa wa Tanga katika ziara yake ya kikazi ya kukagua bandari hiyo na eneo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani