TPA yaonya ujenzi wa bandari ya Mwambani
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeonya kwamba ni kinyume cha Sheria Namba 17 ya Bandari ya Mwaka 2004 kwa taasisi au mtu binafsi, kuendeleza, kusimamia na kuendesha bandari yoyote nchini bila ya kibali chake.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Serikali yasisitiza ujenzi Bandari ya Mwambani
NA OSCAR ASSENGA
SERIKALI imesema mpango wa ujenzi wa bandari mpya ya Mwambani mkoani Tanga upo kama ulivyopangwa.
Kujengwa kwa bandari hiyo, imeelezwa itakuwa ni kichocheo cha mabadiliko ya kiuchumi ndani ya Mkoa wa Tanga ambapo shehena za mizigo zitaongezeka mara dufu kuliko ilivyo sasa.
Hayo yalibainishwa na Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, wakati akizungumza na wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) Mkoa wa Tanga katika ziara yake ya kikazi ya kukagua bandari hiyo na eneo...
10 years ago
VijimamboBILIONEA DANGOTE ALIRIDHIA UJENZI WA BANDARI YAKE MTWARA KWA KUSHIRIKIANA NA TPA
10 years ago
MichuziBILIONEA DANGOTE ALIDHIA UJENZI WA BANDARI YAKE MTWARA KWA KUSHIRIKIANA NA TPA
10 years ago
MichuziWAZIRI WA UCHUKUZI ARIDHISHWA NA MAENDLEO YA UJENZI WA JENGO JIPYA LA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA)
10 years ago
Mtanzania18 Apr
TPA yaonya shughuli zao kuingiliwa
Na Faraja Masinde, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema ni kinyume cha sheria namba 17 ya Bandari ya mwaka 2004 kwa taasisi au mtu binafsi kuendeleza, kusimamia na kuendesha bandari yoyote nchini bila kibali chao.
Kauli hiyo imekuja huku kukiwa na taarifa za kupotosha kuwa shughuli za TPA katika eneo la Mwambani zitafanywa na Kampuni ya Mwambani Port and Railway Corridor Company (MWAPORC).
Taarifa hizo zilihusisha mradi huo na shughuli za MWAPORC kuwa TPA...
11 years ago
Dewji Blog08 Apr
Zanzibar kujengwa Bandari kubwa chini ya Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya Jamuhuri ya Watu wa China (CHEC)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Muwakilishi wa Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya China yenye Tawi la Ofisi yake Nchini Tanzania Bwana Xu Xinpei.
Muwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi wa Bandari ya China Bwana Xu Xinpei akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif. Bwana Xu Xinpei ameelezea azma ya Kampuni yake kutaka kuwekeza katika sekta na Bandari na Hoteli ya Kimataifa ya Kitalii hapa Zanzibar.
Balozi wa Malawi...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
EPZA, TPA kuendeleza bandari Mtwara
MAMLAKA ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) zimefikia makubaliano ya uendelezaji wa hekta 10 za eneo huru la bandari ya Mtwara. Makubaliano hayo...
9 years ago
Bongo507 Dec
Magufuli aivunja bodi ya bandari, TPA
![Magufuli](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Magufuli-300x194.jpg)
Rais Dkt John Magufuli ameivunja bodi ya mamlaka ya bandari, TPA.
Uamuzi huo umetangazwa Jumatatu hii na waziri mkuu, Kassim Majaliwa.
Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Majaliwa amesema Dkt Magufuli ametengua uteuzi wa mwenyekiti wa bodi ya bandari, Profesa Joseph Msambichaka na Mkurugenzi wa bandari, Awadh Massawe.
Pamoja na hivyo rais pia ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa wizara ya uchukuzi, Dkt Shaban Mwinjaka atakayepangiwa kazi nyingine.
Hatua hiyo imekuja baada...