Magufuli aivunja bodi ya bandari, TPA
Rais Dkt John Magufuli ameivunja bodi ya mamlaka ya bandari, TPA.
Uamuzi huo umetangazwa Jumatatu hii na waziri mkuu, Kassim Majaliwa.
Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Majaliwa amesema Dkt Magufuli ametengua uteuzi wa mwenyekiti wa bodi ya bandari, Profesa Joseph Msambichaka na Mkurugenzi wa bandari, Awadh Massawe.
Pamoja na hivyo rais pia ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa wizara ya uchukuzi, Dkt Shaban Mwinjaka atakayepangiwa kazi nyingine.
Hatua hiyo imekuja baada...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZ......: RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA KATIBU MKUU WIZARA YA UCHUKUZI, AVUNJA BODI YA MAMLAKA YA BANDARI (TPA) LEO
Kuvunjwa kwa bodi hiyo kunatokana na utendaji mbovu wa Mamlaka hiyo kwa muda mrefu na kitendo cha kutokuchukua hatua katika vyanzo husika.
Akizungumza na waandishi wa Habari Ofisini...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
9 years ago
BBCSwahili07 Dec
Magufuli avunja bodi ya bandari Tanzania
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
EPZA, TPA kuendeleza bandari Mtwara
MAMLAKA ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) zimefikia makubaliano ya uendelezaji wa hekta 10 za eneo huru la bandari ya Mtwara. Makubaliano hayo...
10 years ago
Habarileo17 Apr
TPA yaonya ujenzi wa bandari ya Mwambani
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeonya kwamba ni kinyume cha Sheria Namba 17 ya Bandari ya Mwaka 2004 kwa taasisi au mtu binafsi, kuendeleza, kusimamia na kuendesha bandari yoyote nchini bila ya kibali chake.
10 years ago
MichuziUJUMBE WA TPA WATEMBELEA MAMLAKA YA BANDARI GHANA
Kwa sasa TPA inatekeleza miradi kadhaa ya kuongeza ufanisi kwa kutumia ICT, kuboresha Ulinzi kwa kufunga Mitambo ya kielektroniki na...
10 years ago
MichuziTICTS yaipongeza TPA kwa mageuzi yanayofanyika bandari
10 years ago
MichuziUjumbe TPA watembelea Mamlaka ya Bandari ya Singapore (PSA)