Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TICTS yaipongeza TPA kwa mageuzi yanayofanyika bandari

Uongozi wa kitengo cha kimataifa cha makasha (TICTS) umepongeza juhudi zinazoendelezwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) za kuimarisha bandari ya Dar es Salaam.  Akiongea wakati wa kukaribisha kuwasili kwa meli kubwa kabisa kuwahi kufika katika bandari hiyo, Afisa Mkuu Mtendaji (CEO) wa TICTS, Bw. Bw. Paul Wallace aliuita ujio huo kuwa wa muhimu sana kwa maendeleo ya bandari hapa nchini.  “Tunaona maendeleo makubwa ya kiutendaji katika bandari yanayopelekea mashirika makubwa kama Maersk...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

PIC YAIPONGEZA TPA KWA KUTEKELEZA KWA UFANISI MRADI WA KUCHIMBA NA KUONGEZA KINA LANGO LA KUINGILIA NA KUGEUZIA MELI CHA BANDARI YA TANGA

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mhandisi Deusdedit C.V. Kakoko akitoa taarifa ya Mpango wa Kitaasisi na Utendaji wa Bandari ya Tanga kwa Mwaka wa Fedha 2018/19 na Nusu Mwaka ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/2020 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) ilipotembelea Bandari ya Tanga hivi karibuni.
 Sehemu ya wajumbe wa kamati hiyo wakiwa kwenye ukumbi wa mikutano

  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)...

 

10 years ago

Michuzi

BILIONEA DANGOTE ALIDHIA UJENZI WA BANDARI YAKE MTWARA KWA KUSHIRIKIANA NA TPA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaji Aliko Dangote, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia alipowasili kwenye uwanja wa Ndege mjini Mtwara jana kwa ajili ya kutembelea kiwanda chake cha Cementi kilichoko Msijute, mkoani Mtwara.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Hawa Ghasia akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaji Aliko Dangote, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara leo kwa ajili ya kuangalia...

 

10 years ago

Vijimambo

BILIONEA DANGOTE ALIRIDHIA UJENZI WA BANDARI YAKE MTWARA KWA KUSHIRIKIANA NA TPA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaji Aliko Dangote, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia alipowasili kwenye uwanja wa Ndege mjini Mtwara jana kwa ajili ya kutembelea kiwanda chake cha Cementi kilichoko Msijute, mkoani Mtwara. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Hawa Ghasia akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaji Aliko Dangote, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara leo kwa ajili ya kuangalia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

EPZA, TPA kuendeleza bandari Mtwara

MAMLAKA ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) zimefikia makubaliano ya uendelezaji wa hekta 10 za eneo huru la bandari ya Mtwara. Makubaliano hayo...

 

10 years ago

Habarileo

TPA yaonya ujenzi wa bandari ya Mwambani

Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano wa TPA, Janeth RuzangiMAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeonya kwamba ni kinyume cha Sheria Namba 17 ya Bandari ya Mwaka 2004 kwa taasisi au mtu binafsi, kuendeleza, kusimamia na kuendesha bandari yoyote nchini bila ya kibali chake.

 

9 years ago

Bongo5

Magufuli aivunja bodi ya bandari, TPA

Magufuli

Rais Dkt John Magufuli ameivunja bodi ya mamlaka ya bandari, TPA.

Magufuli

Uamuzi huo umetangazwa Jumatatu hii na waziri mkuu, Kassim Majaliwa.

Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Majaliwa amesema Dkt Magufuli ametengua uteuzi wa mwenyekiti wa bodi ya bandari, Profesa Joseph Msambichaka na Mkurugenzi wa bandari, Awadh Massawe.

Pamoja na hivyo rais pia ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa wizara ya uchukuzi, Dkt Shaban Mwinjaka atakayepangiwa kazi nyingine.

Hatua hiyo imekuja baada...

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE WA TPA WATEMBELEA MAMLAKA YA BANDARI GHANA

 Ujumbe wa Watalaamu wa masuala wa ICT, Ulinzi na Ujenzi kutoka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) uko kwenye ziara ya mafunzo ( Study tour ) katika Mamlaka ya Bandari Ghana (GPHA) ili kubadilishana utaalamu wa namna ya kuongeza ufanisi wa utekelezaji na kuimarisha Ulinzi wa Bandari, ujumbe wa TPA unaongozwa na Ndg. Phares Magesa Mkurugenzi wa ICT - TPA .
Kwa sasa TPA inatekeleza miradi kadhaa ya kuongeza ufanisi kwa kutumia ICT, kuboresha  Ulinzi kwa kufunga Mitambo ya kielektroniki na...

 

9 years ago

Mwananchi

CUF kuifanyia mageuzi sekta ya utalii,bandari

Mgombea urais wa Zanzibar kwa (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad amesema ataifanyia mageuzi sekta ya utalii na bandari ambazo zina mapato makubwa ili kuifanya Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika Mashariki.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TPA yahamasisha nchi jirani kutumia Bandari Dar

MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA) imezihamasisha nchi jirani kuendelea kutumia Bandari ya Dar es Salaam kwani sasa huduma zake zinaimarika kutokana na maboresho makubwa yanayoendelea kufanywa. Kaimu Meneja Mawasiliano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani