Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPA yahamasisha nchi jirani kutumia Bandari Dar

MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA) imezihamasisha nchi jirani kuendelea kutumia Bandari ya Dar es Salaam kwani sasa huduma zake zinaimarika kutokana na maboresho makubwa yanayoendelea kufanywa. Kaimu Meneja Mawasiliano wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Mamlaka wa Usimamizi wa Bandari (TPA) yasaidia kufanikisha kongamano la pili la diaspora jijini Dar es salaam

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kaimu Meneja wa Mawasiliano (TPA) Bi. Janeth Rusangi  katika kongamano la Pili la Watanzania wanaoishi ughaibuni (Diaspora). Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa (TPA) Bw. Awadh Massawe.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimzawadia cheti Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka wa Usimamizi wa Bandari Bw. Awadh Massawe kwa mchango wake katika kufanikisha kongamano hilo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wa kongamano hilo. Kwa picha zaidi BOFYA...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA WA UBELIGIJI WATEMBELEA BANDARI YA NCHI KAVU YA PMM - DAR ES SALAAM

Balozi wa Tanzaniania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyabiashara kutoka Ubeligiji baada ya kutembelea bandari ya nchi kavu ya PMM- Dar es salaam.

 

10 years ago

Tanzania Daima

UGLOW yahamasisha wanawake kutumia vipodozi sahihi

WANAWAKE nchini wameshauriwa kuhudhuria maonyesha ya vipodozi ili kuhakikisha wanaepukana na matumizi ya vipodozi bandia vinavyochangia kuwapa magonjwa mbalimbali yakiwemo ya kansa ya ngozi. Akizungumza na waandishi wa habari jana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

EPZA, TPA kuendeleza bandari Mtwara

MAMLAKA ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) zimefikia makubaliano ya uendelezaji wa hekta 10 za eneo huru la bandari ya Mtwara. Makubaliano hayo...

 

9 years ago

Bongo5

Magufuli aivunja bodi ya bandari, TPA

Magufuli

Rais Dkt John Magufuli ameivunja bodi ya mamlaka ya bandari, TPA.

Magufuli

Uamuzi huo umetangazwa Jumatatu hii na waziri mkuu, Kassim Majaliwa.

Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Majaliwa amesema Dkt Magufuli ametengua uteuzi wa mwenyekiti wa bodi ya bandari, Profesa Joseph Msambichaka na Mkurugenzi wa bandari, Awadh Massawe.

Pamoja na hivyo rais pia ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa wizara ya uchukuzi, Dkt Shaban Mwinjaka atakayepangiwa kazi nyingine.

Hatua hiyo imekuja baada...

 

10 years ago

Habarileo

TPA yaonya ujenzi wa bandari ya Mwambani

Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano wa TPA, Janeth RuzangiMAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeonya kwamba ni kinyume cha Sheria Namba 17 ya Bandari ya Mwaka 2004 kwa taasisi au mtu binafsi, kuendeleza, kusimamia na kuendesha bandari yoyote nchini bila ya kibali chake.

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE WA TPA WATEMBELEA MAMLAKA YA BANDARI GHANA

 Ujumbe wa Watalaamu wa masuala wa ICT, Ulinzi na Ujenzi kutoka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) uko kwenye ziara ya mafunzo ( Study tour ) katika Mamlaka ya Bandari Ghana (GPHA) ili kubadilishana utaalamu wa namna ya kuongeza ufanisi wa utekelezaji na kuimarisha Ulinzi wa Bandari, ujumbe wa TPA unaongozwa na Ndg. Phares Magesa Mkurugenzi wa ICT - TPA .
Kwa sasa TPA inatekeleza miradi kadhaa ya kuongeza ufanisi kwa kutumia ICT, kuboresha  Ulinzi kwa kufunga Mitambo ya kielektroniki na...

 

10 years ago

Michuzi

Ujumbe TPA watembelea Mamlaka ya Bandari ya Singapore (PSA)

 Ujumbe wa wataalamu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania ( TPA) unatembelea Bandari ya Singapore (PSA) ili kubadilishana utaalamu wa namna ha kuongeza ufanisi na kuimarisha Ulinzi na usalama wa Bandari kwa kutumia Mitambo ya kisasa na Teknolojia ya Habari na mawasiliano (ICT) , Ujumbe wa TPA unaongozwa na Ndg. Phares Magesa , Mkurugenzi wa ICT wa TPA, pia wamo wahandisi wa majengo, wataalamu wa Ulinzi na wataalamu wa  TEHAMA. Ziara hii ni muendelezo wa ushirikiano wa PSA na TPA ikiwa ni...

 

9 years ago

Michuzi

TICTS yaipongeza TPA kwa mageuzi yanayofanyika bandari

Uongozi wa kitengo cha kimataifa cha makasha (TICTS) umepongeza juhudi zinazoendelezwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) za kuimarisha bandari ya Dar es Salaam.  Akiongea wakati wa kukaribisha kuwasili kwa meli kubwa kabisa kuwahi kufika katika bandari hiyo, Afisa Mkuu Mtendaji (CEO) wa TICTS, Bw. Bw. Paul Wallace aliuita ujio huo kuwa wa muhimu sana kwa maendeleo ya bandari hapa nchini.  “Tunaona maendeleo makubwa ya kiutendaji katika bandari yanayopelekea mashirika makubwa kama Maersk...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani