Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mamlaka wa Usimamizi wa Bandari (TPA) yasaidia kufanikisha kongamano la pili la diaspora jijini Dar es salaam

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kaimu Meneja wa Mawasiliano (TPA) Bi. Janeth Rusangi  katika kongamano la Pili la Watanzania wanaoishi ughaibuni (Diaspora). Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa (TPA) Bw. Awadh Massawe.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimzawadia cheti Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka wa Usimamizi wa Bandari Bw. Awadh Massawe kwa mchango wake katika kufanikisha kongamano hilo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wa kongamano hilo. Kwa picha zaidi BOFYA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

JK katika hafla ya kongamano la pili la Diaspora jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICCRais Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Wengine kutoka kulia ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya...

 

9 years ago

Michuzi

Kongamano la Diaspora na Wajasiriamali likiendelea kwa siku ya pili jijini Dar es Salaam


Chukwu-Emeka Chikezie akiongoza moja ya mdahalo katika kongamano la Diaspora, Balozi wa Marekani nchini Mhe. Mark Childress kwa pamoja na Bw. Ali Mufuruki, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maafisa Watendaji Wakuu nchini, Bw. Richard Miles, Mwakilishi wa Umoja wa Wafanyabiashara wa Marekani nchini na Dkt. Silencer Mapuranga, Mchumi kutoka ITC.Balozi wa Marekani nchini, mhe. Childress akichangia mada kuhusu mabadiliko ya kiuchumi Tanzania wakati wa Kongamano la Diaspora.Bw. Miles nae akichangia...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete katika hafla ya kongamano la pili la Diaspora Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC Rais Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Wengine kutoka kulia ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), yajipanga kuikabili Ebola

Mganga Mkuu wa Zahanati ya TPA, Dkt. Mkunde Mlay akifungua mafunzo ya namna ya kukabiliana na Ebola kwa Wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam wa vitengo vya afya, zimamoto na ulinzi. Mafunzo hayo yalitolewa hivi karibuni bandarini hapo na madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili.Dkt. Juma Mfinanga wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, akieleza jambo kwa wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam namna ya kukabiliana na Ebola. Mfano wa vazi maalumu la kujikinga na maambukizi ya virusi vya Ebola...

 

11 years ago

Michuzi

Wakulima Dodoma wasifu Ufanisi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)

Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw. Hamis Abdallah Mwenda (kushoto) akipata maelezo katika Banda la TPA lililopo viwanja vya nanenane Nzuguni, Dodoma kutoka kwa Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (kulia). Katikati ni Afisa Mkuu wa TPA, Bi. Lydia Mallya.Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Bw. Hamis Abdallah Mwenda (kushoto) akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Banda la TPA lililopo...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UCHUKUZI ARIDHISHWA NA MAENDLEO YA UJENZI WA JENGO JIPYA LA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA)

 Waziri wa Uchukuzi, Samweli Sitta (wa pili kutoka kulia) akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Awadh Massawe, wakati akitoa maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la Mamlaka hiyo leo mchana. Wa kwanza Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka. Mbunifu majenzi  kutoka kampuni ya K &M Acrplans (T) ltd, ambao ndio washauri wa ujenzi wa Jengo hilo, Arch. Albert Mwambafu, akitoa maelezo kwa Waziri wa Uchukuzi, Samuel...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani