Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete katika hafla ya kongamano la pili la Diaspora Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC Rais Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Wengine kutoka kulia ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Ngoma Africa band na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wanogesha hafla ya kongamano la Diaspora hoteli ya Serena jijini Dar es salaam

Ngoma Africa band yenye makazi yake nchini Ujerumani na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin walivyonogesha hafla ya Kongamano la Pili la Diaspora lililofanyika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Agosti 15, 2015 ambapo Ngoma Africa band walituma CD yenye nyimbo kali mbili za kumuaga Rais Kikwete na Mama wa Mitindo alifanya onesho maalumu la mavazi ya Kiafrika.

 

9 years ago

Michuzi

JK katika hafla ya kongamano la pili la Diaspora jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICCRais Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Wengine kutoka kulia ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya...

 

10 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA DIASPORA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM KUANZA ALHAMISI AGOSTI 14, 2015 HOTELI YA SERENA

Tukielekea kukamilisha maandalizi ya kongamano la Diaspora litakalofanyika kesho tarehe 13 hadi 15 Agosti, 2015 napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru kwa kukubali mwaliko wetu wa kushiriki kongamano hilo na pia kuwakumbusha yafuatayo:

1. Kujiandaa kikamilifu kwa kupitia "brief concept Note" ya Kongamano hilo ambayo nimeambatanisha;
2. kupitia ratiba ya masuala yatakayojiri katika kongamano hilo ambayo pia nimeambatanisha; na 
3. kuhakikisha kuwa mmejiandikisha kushiriki kongamano hilo kupitia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bloggers kukutana kesho katika hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam katika pati ya kihistoria

4

Jaji Kiongozi atoa somo kwa watumishi wa mahakama, vyama vya waajiri na waajiriwa Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network  (TBN) na mmiliki wa Blog ya The Habari.com Joachim Mushi (katikati) akizungumza wakati wa mkutano na waandishi. Kutoka kushoto ni  mjumbe wa TBN Mkala Fundikira,  Afisa wa kampuni ya mawasiliano na matangazo ya AIMS, Shafiq Mpanja wa AIM, Ofisa Uhusiano wa NMB Doris Kilale na mjumbe wa TBN Khadija Kalili.

Katika mkutano huo TBN imesema kesho Jumamosi jioni Bloggers...

 

10 years ago

Michuzi

BLOGGERS KUKUTANA KESHO KATIKA HOTELI YA SERENA JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA PATI YA KIHISTORIA

 Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network  (TBN) na mmiliki wa Blog ya The Habari.com Joachim Mushi (katikati) akizungumza wakati wa mkutano na waandishi. Kutoka kushoto ni  mjumbe wa TBN Mkala Fundikira,  Afisa wa kampuni ya mawasiliano na matangazo ya AIMS, Shafiq Mpanja wa AIM, Ofisa Uhusiano wa NMB Doris Kilale na mjumbe wa TBN Khadija Kalili.Katika mkutano huo TBN imesema kesho Jumamosi jioni Bloggers takriban 100 kutoka sehemu mbalimbali nchini watakutanika katika ukumbi wa hoteli ya...

 

9 years ago

Michuzi

Kongamano la Diaspora na Wajasiriamali likiendelea kwa siku ya pili jijini Dar es Salaam


Chukwu-Emeka Chikezie akiongoza moja ya mdahalo katika kongamano la Diaspora, Balozi wa Marekani nchini Mhe. Mark Childress kwa pamoja na Bw. Ali Mufuruki, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maafisa Watendaji Wakuu nchini, Bw. Richard Miles, Mwakilishi wa Umoja wa Wafanyabiashara wa Marekani nchini na Dkt. Silencer Mapuranga, Mchumi kutoka ITC.Balozi wa Marekani nchini, mhe. Childress akichangia mada kuhusu mabadiliko ya kiuchumi Tanzania wakati wa Kongamano la Diaspora.Bw. Miles nae akichangia...

 

9 years ago

Michuzi

Mamlaka wa Usimamizi wa Bandari (TPA) yasaidia kufanikisha kongamano la pili la diaspora jijini Dar es salaam

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kaimu Meneja wa Mawasiliano (TPA) Bi. Janeth Rusangi  katika kongamano la Pili la Watanzania wanaoishi ughaibuni (Diaspora). Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa (TPA) Bw. Awadh Massawe.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimzawadia cheti Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka wa Usimamizi wa Bandari Bw. Awadh Massawe kwa mchango wake katika kufanikisha kongamano hilo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wa kongamano hilo. Kwa picha zaidi BOFYA...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete, Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Diaspora jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mkutano wa Watanzania wanaoishi ughaibuni (Diaspora) ambao umepangwa kufanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam tarehe 14 na 15 Agosti 2014.

Mkutano huo ambao umeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Taasisi ya Diaspora Tanzania (Tanzania Diaspora Initiative-TDI), unalenga kuwahamasisha Watanazania wanaoishi ughaibuni wenye utaalamu na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani