BLOGGERS KUKUTANA KESHO KATIKA HOTELI YA SERENA JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA PATI YA KIHISTORIA
Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na mmiliki wa Blog ya The Habari.com Joachim Mushi (katikati) akizungumza wakati wa mkutano na waandishi. Kutoka kushoto ni mjumbe wa TBN Mkala Fundikira, Afisa wa kampuni ya mawasiliano na matangazo ya AIMS, Shafiq Mpanja wa AIM, Ofisa Uhusiano wa NMB Doris Kilale na mjumbe wa TBN Khadija Kalili.Katika mkutano huo TBN imesema kesho Jumamosi jioni Bloggers takriban 100 kutoka sehemu mbalimbali nchini watakutanika katika ukumbi wa hoteli ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Bloggers kukutana kesho katika hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam katika pati ya kihistoria
Jaji Kiongozi atoa somo kwa watumishi wa mahakama, vyama vya waajiri na waajiriwa Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na mmiliki wa Blog ya The Habari.com Joachim Mushi (katikati) akizungumza wakati wa mkutano na waandishi. Kutoka kushoto ni mjumbe wa TBN Mkala Fundikira, Afisa wa kampuni ya mawasiliano na matangazo ya AIMS, Shafiq Mpanja wa AIM, Ofisa Uhusiano wa NMB Doris Kilale na mjumbe wa TBN Khadija Kalili.
Katika mkutano huo TBN imesema kesho Jumamosi jioni Bloggers...
10 years ago
VijimamboBLOGGERS KUKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM LEO KATIKA PATI YA KIHISTORIA
9 years ago
Dewji Blog15 Aug
Rais Kikwete katika hafla ya kongamano la pili la Diaspora Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam
![](http://4.bp.blogspot.com/-sxqqKPlV8JI/Vc5bhrcN7mI/AAAAAAAHw3M/kGq18gU5-wc/s640/IMGS1580.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-xO18iizd7hU/Vc5bhgW42fI/AAAAAAAHw3Q/nVRweAZIfPE/s640/IMGS1584.jpg)
10 years ago
Dewji Blog31 Jul
Rais Yoweri Museveni afungua mkutano wa marais wastaafu katika hoteli ya Serena jijini Dar
Mh. Rais Yoweri Museveni wa Uganda akifungua rasmi mkutano wa Marais wastaafu wa Afrka AFRICA LEADERSHIP FORUM unaofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Mkutano huo unaojumuisha marais wastaafu Benjamin Mkapa wa Tanzania , Olusegun Obasanjo wa Nigeria, Hifikepunye Lucas Pohamba wa Namibia, Festus Mogaye wa Botswana, Bakili Muluzi wa Malawi na Jerry Rowlings wa Ghana unajadili masuala mbalimbali ya maendeleo katika bara la Afrika na Changamoto zinazokabili barahilo na...
10 years ago
Michuzi31 Jul
RAIS YOWERI MUSEVEN AFUNGUA MKUTANO WA MARAIS WASTAAFU KATIKA HOTELI YA SERENA JIJINI DAR
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/0110.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-SU11xMyg3Lw/VXHqgznO-iI/AAAAAAAHcZY/HuG4rqvn9jY/s72-c/unnamedss1.jpg)
wafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena waadhimisha siku ya mazingira kwa kufanya usafi maeneo ya barabara jijini dar
Akiongea mara baada ya zoezi hilo la usafi mkurugenzi mkuu wa masoko wa hoteli hiyo ndugu Seraphin Lusala aliwashukuru wafanyakazi wa hoteli hiyo kwa kushiriki katika zoezi hilo la kufanya usafi wa mazingira ili kuonyesha mfano kwa jamii kwamba uchafuzi wa mazingira haukubaliki na...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9sn7BSdig7w/VcsS-J02ypI/AAAAAAAD3FE/SjYa2dVpICI/s72-c/diaspora%2Btentative%2Bprogramme%2B-%2BFinal%2B1-1%2B%25281%2529.jpg)
KONGAMANO LA DIASPORA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM KUANZA ALHAMISI AGOSTI 14, 2015 HOTELI YA SERENA
1. Kujiandaa kikamilifu kwa kupitia "brief concept Note" ya Kongamano hilo ambayo nimeambatanisha;
2. kupitia ratiba ya masuala yatakayojiri katika kongamano hilo ambayo pia nimeambatanisha; na
3. kuhakikisha kuwa mmejiandikisha kushiriki kongamano hilo kupitia...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-5yda2xCcA5c/VPM5Mrm4ZcI/AAAAAAAHGyA/YVyj30yaZ6w/s72-c/DSC_0271.jpg)
TEAM MICHUZI PRODUCTION YAREKODI KWA WELEDI WA HALI YA JUU MNUSO WA TANZANIA BLOGGERS PARTY SERENA HOTEL JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-5yda2xCcA5c/VPM5Mrm4ZcI/AAAAAAAHGyA/YVyj30yaZ6w/s1600/DSC_0271.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-5yda2xCcA5c/VPM5Mrm4ZcI/AAAAAAAHGyA/YVyj30yaZ6w/s72-c/DSC_0271.jpg)
TEAM MICHUZI PRODUCTION YAREKODI KWA WELEDI WA HALI YA JUU MNUSO WA TANZANIA BLOGGERS PARTY SERENA HOTEL JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-5yda2xCcA5c/VPM5Mrm4ZcI/AAAAAAAHGyA/YVyj30yaZ6w/s1600/DSC_0271.jpg)