MWALIKO WA KONGAMANO LA PILI LA DIASPORA, DAR ES SALAAM, 13-15 AGOSTI,
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKONGAMANO LA DIASPORA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM KUANZA ALHAMISI AGOSTI 14, 2015 HOTELI YA SERENA
Tukielekea kukamilisha maandalizi ya kongamano la Diaspora litakalofanyika kesho tarehe 13 hadi 15 Agosti, 2015 napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru kwa kukubali mwaliko wetu wa kushiriki kongamano hilo na pia kuwakumbusha yafuatayo:
1. Kujiandaa kikamilifu kwa kupitia "brief concept Note" ya Kongamano hilo ambayo nimeambatanisha;
2. kupitia ratiba ya masuala yatakayojiri katika kongamano hilo ambayo pia nimeambatanisha; na
3. kuhakikisha kuwa mmejiandikisha kushiriki kongamano hilo kupitia...

9 years ago
MichuziJK katika hafla ya kongamano la pili la Diaspora jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICCRais Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Wengine kutoka kulia ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya...
9 years ago
MichuziKongamano la Diaspora na Wajasiriamali likiendelea kwa siku ya pili jijini Dar es Salaam
Chukwu-Emeka Chikezie akiongoza moja ya mdahalo katika kongamano la Diaspora, Balozi wa Marekani nchini Mhe. Mark Childress kwa pamoja na Bw. Ali Mufuruki, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maafisa Watendaji Wakuu nchini, Bw. Richard Miles, Mwakilishi wa Umoja wa Wafanyabiashara wa Marekani nchini na Dkt. Silencer Mapuranga, Mchumi kutoka ITC.Balozi wa Marekani nchini, mhe. Childress akichangia mada kuhusu mabadiliko ya kiuchumi Tanzania wakati wa Kongamano la Diaspora.Bw. Miles nae akichangia...
9 years ago
MichuziMamlaka wa Usimamizi wa Bandari (TPA) yasaidia kufanikisha kongamano la pili la diaspora jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kaimu Meneja wa Mawasiliano (TPA) Bi. Janeth Rusangi katika kongamano la Pili la Watanzania wanaoishi ughaibuni (Diaspora). Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa (TPA) Bw. Awadh Massawe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimzawadia cheti Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka wa Usimamizi wa Bandari Bw. Awadh Massawe kwa mchango wake katika kufanikisha kongamano hilo.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wa kongamano hilo. Kwa picha zaidi BOFYA...
9 years ago
Dewji Blog15 Aug
Rais Kikwete katika hafla ya kongamano la pili la Diaspora Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC
Rais Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Wengine kutoka kulia ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya...
11 years ago
Michuzi14 Jul
WAZIRI MKUU: KONGAMANO LA DIASPORA KUFANYIKA JIJINI DAR AGOSTI
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali inaandaa kongamano la siku mbili litakalojadili mustakabali wa wana diaspora wa Tanzania kutoka nchi zote duniani ikiwa ni pamoja na kuwakutanisha na makampuni na wafanyabishara mbalimbali.
Ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki wakati alipokutana na Watanzania wanaoishi Uingereza kwenye mkutano uliofanyika ubalozi wa Tanzania jijini London.
Waziri Mkuu alisema kongamano hilo ambalo limepangwa kufanyika Agosti 14-15, mwaka huu, linalenga kuitambulisha...

VijimamboKONGAMANO LA DIASPORA - DAR ED SALAAM
Tukielekea kukamilisha maandalizi ya kongamano la Diaspora litakalofanyika tarehe 13 hadi 15 Agosti, 2015 napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru kwa kukubali mwaliko wetu wa kushiriki kongamano hilo na pia kuwakumbusha yafuatayo:
1. Kujiandaa kikamilifu kwa kupitia "brief concept Note" ya Kongamano hilo ambayo nimeambatanisha;
2. kupitia ratiba ya masuala yatakayojiri katika kongamano hilo ambayo pia nimeambatanisha; na
3. kuhakikisha kuwa mmejiandikisha kushiriki kongamano hilo kupitia tovuti...

VijimamboKONGAMANO LA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NA UWEKEZAJI KUFANYIKA AGOSTI 28-30, 2015 JIJINI DAR ES SALAAM
Meneja Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Nuebrand EC, Cathreen Bukuku (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kongamano la wiki ya huduma za kifedha na uwekezaji litakalofanyika Agosti 28 hadi 30 mwaka huu, viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkufunzi na Mratibu wa Mipango wa Kampuni hiyo, Daniel Wadelanga. Kongamano hilo limeandaliwa na Kampuni ya Nuebrand EC. Mjumbe wa Timu ya Mauzo wa Benki ya Uba United Bank for...
10 years ago
VijimamboDIASPORA KUTOKA MAREKANI WAWAKILISHA KWENYE KONGAMANO LA DIASPORA DAR
Diaspora toka Marekani wakihudhuria kongamano la Diaspora 2015 lililoanza leo katika hotel ya Serena iliyopo jijini Dar Es Salaam Kutoka kushoto ni Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly, Bi. Agnetta Kamgisha na Mariam Kalala Nyang'oro kutoka Jumuiya ya Watanzania Nort CarolinaWatanzania wakiwakilisha Diaspora kutoka Marekani wakihudhuria kongamano la Diaspora la Ubia SMEs 2015 Serena Hotel jijini Dar. Kutoka kushoto ni Agnetta Kamgisha, Mariam Kalala Nyang'oro na Asha...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania