Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIASPORA KUTOKA MAREKANI WAWAKILISHA KWENYE KONGAMANO LA DIASPORA DAR

 Diaspora toka Marekani wakihudhuria kongamano la Diaspora 2015 lililoanza leo katika hotel ya Serena iliyopo jijini Dar Es Salaam Kutoka kushoto ni Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly, Bi. Agnetta Kamgisha na Mariam Kalala Nyang'oro kutoka Jumuiya ya Watanzania Nort CarolinaWatanzania wakiwakilisha Diaspora kutoka Marekani wakihudhuria kongamano la Diaspora la Ubia SMEs 2015 Serena Hotel jijini Dar. Kutoka kushoto ni Agnetta Kamgisha, Mariam Kalala Nyang'oro na Asha...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KONGAMANO LA DIASPORA - DAR ED SALAAM

Tukielekea kukamilisha maandalizi ya kongamano la Diaspora litakalofanyika tarehe 13 hadi 15 Agosti, 2015 napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru kwa kukubali mwaliko wetu wa kushiriki kongamano hilo na pia kuwakumbusha yafuatayo:

1. Kujiandaa kikamilifu kwa kupitia "brief concept Note" ya Kongamano hilo ambayo nimeambatanisha;
2. kupitia ratiba ya masuala yatakayojiri katika kongamano hilo ambayo pia nimeambatanisha; na 
3. kuhakikisha kuwa mmejiandikisha kushiriki kongamano hilo kupitia tovuti...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS JK AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA DIASPORA JIJINI DAR ES SALAAM LEO, WANA-DIASPORA KIBAO WAHUDHURIA

Mratibu wa Diaspora katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Suzan Mzee akitoa muhtasari wa mkutano wa Diaspora kabla ya kufunguliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Serena Hotel leo Agosti 14, 2014. Anayeangalia mabango ni mjumbe wa kamati ya maandalizi Bw. Constantine Magavilla.
 Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akimkaribisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuhutubia na kufungua rasmi Mkutano wa Diaspora. Sehemu ya wageni waalikwa akiwemo Balozi Mwanaidi Maajar ambaye anasifika kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MWANA DIASPORA KUTOKA MAREKANI, JOHN MASHAKA NI MFANO WA KUIGWA

Taasisi ya John Mashaka Foundation pamoja na American Engineering Group (AEG) hatimaye imeweza kuwasaidia wanakijiji 3,500 katika kijiji cha Manila wilayani Rorya kupata maji safi na salama.  Mradi huu umegharamu kiasi cha Shilling Billion moja. Kabla ya huu mradi wananchi wa hiki kijiji walikuwa wakitembea kilometa 24 kwenda ziwani na kurudi. Kazi ambayo ilikuwa ikifanywa na watoto pamoja ba wanawake.

Huu  ni mradi wa aina yake, kwani unatoa maji safi na salama. Na ina uwezo wa kusafisha...

 

9 years ago

Michuzi

JK katika hafla ya kongamano la pili la Diaspora jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICCRais Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Wengine kutoka kulia ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU: KONGAMANO LA DIASPORA KUFANYIKA JIJINI DAR AGOSTI

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali inaandaa kongamano la siku mbili litakalojadili mustakabali wa wana diaspora wa Tanzania kutoka nchi zote duniani ikiwa ni pamoja na kuwakutanisha na makampuni na wafanyabishara mbalimbali.
Ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki wakati alipokutana na Watanzania wanaoishi Uingereza kwenye mkutano uliofanyika ubalozi wa Tanzania jijini London.
Waziri Mkuu alisema kongamano hilo ambalo limepangwa kufanyika Agosti 14-15, mwaka huu, linalenga kuitambulisha...

 

9 years ago

Vijimambo

MWANA DIASPORA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUZOA UMAARUFU MBIO ZA UBUNGE

Ni Liberatus Mwang'ombe "Libe" ameendelea kuwa mwiba kwa wagombea wengine kwa kukusanya makundi ya aina mbalimbali, watoto, wazee, vijana na kinamama. Mh. Mwang'ombe amekua akitoa hotuba kwa uhodari wa hali ya juu na kuwafanya watu wa Mbarali kuwa na matumaini na kujisikia wapo wamoja.Moja ya kipengele chake kweye hotuba kinacho wavutia watu ni pale anapo sema "hatuunganishwi kwa itikadi zetu, vyama vyetu, jinsia zetu, dini zetu wala makabila yetu; bali tunaongunishwa kwa changamoto zinazo...

 

9 years ago

Vijimambo

JUST IN: MWANA DIASPORA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUWA GUMZU MBIO ZA UBUNGE

 Ni Libertus Mwang'ombe "Libe" aliye wahi kuishi DMV (Virginia, Maryland na D.C.) ameonekana kuwa na mvuto wa kipekee kwenye mbio za kuelekea Dodoma.  Mh. Mwang'ombe amekuwa akikusanya umati wa watu na kushangiliwa kwa sana. Watu wa Mbarali wameonyesha kumkubali kijana huyu ambaye hotuba zake ningi zimekuwa hazina lugha chafu, zina waita watu wa Mbarali kuwa wamoja na kupigania maslai kwa pamoja.
Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani