Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF kuifanyia mageuzi sekta ya utalii,bandari

Mgombea urais wa Zanzibar kwa (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad amesema ataifanyia mageuzi sekta ya utalii na bandari ambazo zina mapato makubwa ili kuifanya Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika Mashariki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

ACT Wazalendo kusudia kufanya mageuzi makubwa katika sekta ya utalii.

Chama cha ACT Wazalendo kimesema kinakusudia kufanya mageuzi makubwa katika sekta ya utalii nchini ili kuongeza fursa na mapato yanayotokana na sekta hiyo sambamba na kuwashughulikia kikamilifu wale wote wanaohujumu maliasili za Taifa.

Mgombea urais kupitia chama hicho Anna Mgwira amewaambia wakazi wa Arusha katika Mkutano wa kampeni za chama hicho kwamba mchango wa sekta ya utalii katika taifa kwa sasa ni mdogo kulingana na rasilimali zilizopo Tanzania.

Akiwahutubia wananchi katika viwanja...

 

9 years ago

Dewji Blog

HDP yakutanisha wadau wa sekta ya utalii katika mkutano wa pili wa kukuza sekta ya ukarimu na utalii

__800x800_51d3b4b77dc78

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Shirika la Kimataifa la Ukarimu na Utalii (HDP) kwa kushirikiana na Wamiliki wa Hoteli Tanzania (HAT) wamefanya mkutano wa kukutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii kujadili mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya sekta hiyo.

Akizungumzia mkutano huo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru amesema mashirika hayo yamefanya mkutano huo kwa awamu ya pili kwa ajili ya...

 

9 years ago

Michuzi

TICTS yaipongeza TPA kwa mageuzi yanayofanyika bandari

Uongozi wa kitengo cha kimataifa cha makasha (TICTS) umepongeza juhudi zinazoendelezwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) za kuimarisha bandari ya Dar es Salaam.  Akiongea wakati wa kukaribisha kuwasili kwa meli kubwa kabisa kuwahi kufika katika bandari hiyo, Afisa Mkuu Mtendaji (CEO) wa TICTS, Bw. Bw. Paul Wallace aliuita ujio huo kuwa wa muhimu sana kwa maendeleo ya bandari hapa nchini.  “Tunaona maendeleo makubwa ya kiutendaji katika bandari yanayopelekea mashirika makubwa kama Maersk...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MKUTANO NA WADAU WA SEKTA YA MALIASILI NCHINI KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Maliasili nchini leo tarehe 26 Novemba 2015 katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umeshirikisha wadau mbalimbali wakiwemo wa Wizara zenye muelekeo wa Maliasili, Sekta binafsi, NGOs, Waandishi wa habari na wadau wengine. Mada mbalimbali kutoka katika Sekta ndogo za Wanyamapori, Misitu, Utalii, Mambo ya Kale na Uvuvi...

 

11 years ago

Habarileo

CUF wafanya mageuzi makubwa

MKUTANO Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) umeridhia uwepo wa ngazi ya uongozi wa jimbo, ili ufanane na mfumo wa vyama vingine vya upinzani nchini, kwa lengo la kuimarisha mshikamano.

 

11 years ago

Michuzi

NCHI ZIMILIKI MAGEUZI YA SEKTA ZA USALAMA - TANZANIA

Balozi Ramadhan Mwinyi, Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akizungumza katika Chemba ya Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa wakati wa mkutano wa siku moja wa Baraza hilo uliofanyika juzi ( jumatatu) mkutano huo ulihusu mageuzi ya sekta za usalama, ambapo kwa mara ya kwanza Baraza Kuu la Usalama lilipitisha Azimio linalojitegemea kuhusu mageuzi katika sekta za usalama. Tanzania ilikuwa miongoni mwa nchi 42 zilizochangia majadiliano hayo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ridhiwani: Nimejipanga kuleta mageuzi sekta ya elimu Chalinze

KWA mujibu wa kamusi ya Kiswahilli, neno Ahadi lina maana ya sharti analojipa  mtu kulitimiza; agano,  mapatano. Kutokana na ukweli huo, ndio maana kuna msemo usemao ‘Ahadi ni deni’. Ili...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe kuwateua CUF, NCCR-Mageuzi, Baraza la Kivuli

Mvutano katika mchakato wa Katiba umeimarisha ushirikiano wa vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi na sasa kuna mpango wa kuundwa upya kwa Baraza la Mawaziri Kivuli ambalo litawajumuisha wabunge wa vyama hivyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea CUF aahidi kusimamia bandari

Mgombea ubunge wa Jimbo la Tanga mjini, Mussa Mbarouk (CUF), amesema endapo atachaguliwa atahakikisha Bandari ya Tanga inatumika katika shughuli zote za upakiaji na upakuaji wa mafuta na mizigo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani