Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea CUF aahidi kusimamia bandari

Mgombea ubunge wa Jimbo la Tanga mjini, Mussa Mbarouk (CUF), amesema endapo atachaguliwa atahakikisha Bandari ya Tanga inatumika katika shughuli zote za upakiaji na upakuaji wa mafuta na mizigo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mgombea CUF aahidi neema Ubena

MGOMBEA ubunge  wa Chalinze kwa  tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Fabian Skauki, amewaomba wananchi  wa Kata ya Ubena kumchagua ili aweze kuwaletea maendeleo. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar...

 

10 years ago

Vijimambo

LIPUMBA NDIE MGOMBEA PEKEE CUF ATAKAE WAKILISHA CUF KUGOMBEA URAIS UKAWA


Chama cha wananchi CUF kimesema kuwa siku ya Jumapili ya Tarehe 14 mwezi huu wa sita ndiyo siku rasmi ya kumkabidhi rasmi form ya kuomba kugombea urais wa jamhuri ya muunganoi wa Tanzania mwenyekiti wa chama hicho Profesa IBRAHIM LIPUMBA baada ya kujitokeza mwenyewe katika chama hicho kuomba nafasi hiyo licha ya chama hicho kutangaza kwa muda mrefu watu kujitokeza kutangaza nia.Naibu Mkurugenzi Uchaguzi na Mipango wa CUF, Shaweji Mketo akizngumza na wanahabari mbalimbali makao makuu ya chama...

 

9 years ago

Mwananchi

Mghwira aahidi kusimamia mapato ya kodi kupunguza umasikini

Mgombea urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Anna Mghwira, amesema kuwa endapo wananchi watampa ridhaa ya kuingia madarakani atahakikisha anasimamia ukusanyaji kodi ili kupunguza gharama za maisha na kupambana na umasikini.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa aahidi bandari ya kisasa Kigoma

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amewaahidi wakazi wa mkoa wa Kigoma kuwa atajenga bandari ya kisasa ikiwa watamchagua kuwa rais wa awamu ya tano katika uchaguzi mkuu ujao.

 

9 years ago

Habarileo

Mgombea urais Chauma kusimamia sekta ya afya

MGOMBEA wa urais kwa tiketi ya Chama cha Chauma, Hashim Rungwe amesema kuwa Watanzania wampatie ridhaa ya kuongoza ili awaweze kusimamia sekta ya afya.

 

5 years ago

CCM Blog

DC APSON AMJULIA HALI MVUVI ALIYENG'ATWA MKONO NA MAMBA, AAHIDI KUMUANZISHIA BIASHARA, KUSIMAMIA MATIBABU

 Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Tom Apson (kushoto), akiwa Hospitali ya Usangi kumjulia hali majeruhi aliyeshambuliwa na mamba katika Ziwa Jipe wakati akivua samaki. Mvuvi huyo amekatwa na mamba nusu ya mkono wake wa kushoto. 

Baada ya hapo, DC Apson aliamua kwenda nyumbani kwa majeruhi  kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki. Pia alijumuika na viongozi wa kijiji na kata ya Kigonigoni.


"Hata hivyo kama Kiongozi Mkuu wa Serikali wilayani Mwanga nimeamua tutasimamia...

 

9 years ago

StarTV

Mgombea Ubunge CHAUMA aishauri Tume kusimamia haki

Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMA Eugene Kabendera ameitaka Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo kwa haki bila kupendelea upande wowote baada ya uchaguzi mkuu.

Kabendera amesema Jimbo la Ubungo lina changamoto nyingi hasa ya maji inayosumbua kwa muda mrefu sasa hivyo anahitajika mbunge kijana kama yeye kusimamia jimbo hilo na kuleta maendeleo.

Kabendera ametoa tamko hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kusema kuwa haki ni...

 

9 years ago

Mwananchi

CUF kuifanyia mageuzi sekta ya utalii,bandari

Mgombea urais wa Zanzibar kwa (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad amesema ataifanyia mageuzi sekta ya utalii na bandari ambazo zina mapato makubwa ili kuifanya Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika Mashariki.

 

9 years ago

Habarileo

Mgombea aahidi kufungua kesi za ardhi

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa ameahidi kugawa fomu za malalamiko ya ardhi na kufungua kesi kwa niaba ya wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani