Mgombea Ubunge CHAUMA aishauri Tume kusimamia haki
Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMA Eugene Kabendera ameitaka Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo kwa haki bila kupendelea upande wowote baada ya uchaguzi mkuu.
Kabendera amesema Jimbo la Ubungo lina changamoto nyingi hasa ya maji inayosumbua kwa muda mrefu sasa hivyo anahitajika mbunge kijana kama yeye kusimamia jimbo hilo na kuleta maendeleo.
Kabendera ametoa tamko hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kusema kuwa haki ni...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo20 Sep
Mgombea urais Chauma kusimamia sekta ya afya
MGOMBEA wa urais kwa tiketi ya Chama cha Chauma, Hashim Rungwe amesema kuwa Watanzania wampatie ridhaa ya kuongoza ili awaweze kusimamia sekta ya afya.
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Mgombea ubunge Singida Mjini Musa Sima: “Nitampa Msindai kazi ya kusimamia Baraza la Wazee, ndio kazi anayoweza”
Mwenyekiti wa CCM Singida Mjini, Hamis Nguli (kulia) akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo hilo Mussa Sima jana kwenye viwanja vya Kata ya Majengo.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida mjini (CCM), Mussa Sima (kulia) akimnadi Mgombea Udiwanui Kata ya Majengo, Yage Kiaratu.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida mjini kwa tiketi ya CCM, Mussa Sima akizungumza kwenye mkutano wa kampeni.
Mgombea Udiwani Kata mpya ya Misuna, Hamis Kisuke (Mzee wa Jaula) akinadi sera kwenye mkutano huo.
Mgombea udiwani...
9 years ago
StarTV18 Sep
Mgombea CHAUMA aahidi kuimarisha ulinzi na usalama wa raia
Kutokana na kukithiri kwa vitendo vya kikatili yakiwemo mauaji ya alibino,mauaji ya vikongwe, ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia chama cha ukombozi wa umma (CHAUMA) kimesema endapo watanzania watakipatia ridhaa ya kuongozi nchi kitahakikisha kinakomesha vitendo vya kikatili kwa makundi hayo kwa kujenga makambi maalumu ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia wake.
Hayo yamesemwa na mgombea urais kupitia chama hicho Hashim Rungwe akiwa katika mkutano wa kampeni wilayani Nzega Mkoani Tabora...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-HNxY9xdnu-4/Xujj7WyJA0I/AAAAAAALuIU/6g-ZzRNlvRAeRXEBdkYPz-oWuWIMPFC_QCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Tume ya Haki za Binadamu, Shirikianeni na TCRA Upatikanaji wa Haki za Mtandao-Waziri Kombo
![](https://1.bp.blogspot.com/-HNxY9xdnu-4/Xujj7WyJA0I/AAAAAAALuIU/6g-ZzRNlvRAeRXEBdkYPz-oWuWIMPFC_QCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-egpneANz2LE/Xujj7WHC6oI/AAAAAAALuIY/634LGgxVMJU23Qi3NVQRxgA5qMJE-5tPgCLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
9 years ago
Dewji Blog29 Oct
Tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) leo mchana makao makuu ya ofisi za Tume, mtaa wa Barack Obama jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mhe. Nyanduga akitoa tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Ushauri wa THBUB kwa Tume ya Uchaguzi Zbar.doc
10 years ago
Dewji Blog13 Jun
Tume ya Haki za binadamu, UNESCO wataka jamii kutambua haki za watu wenye Albinism nchini
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Dkt. Kevin Lothal Mandopi akielezea namna ya tume hiyo ilivyo mstari wa mbele kuelimisha Umma dhidi ya vitendo na ukatili kwa watu wenye Ualbinism nchini kwa wadau na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam mapema leo Juni 13.2015.
Na Andrew Chale, modewjiblog
Tume ya Haki za binadamu na Utawala bora nchini, leo Juni 13,2015, imeungana na watanzania wote kuadhimisha siku ya Kimataifa ya uelimishaji umma kuhusu Ualbino...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-k9VaLQL_XnA/XtlI-tokMPI/AAAAAAALspA/PA1UYlDOs_kK07YGKk92raUmgI81WSr4wCLcBGAsYHQ/s72-c/1-6.jpg)
Wizara ya Katiba na Sheria na Tume ya Haki za Binadamu zina Wajibu wa kulinda haki za wananchi-Jaji Mstaafu Mwaimu
![](https://1.bp.blogspot.com/-k9VaLQL_XnA/XtlI-tokMPI/AAAAAAALspA/PA1UYlDOs_kK07YGKk92raUmgI81WSr4wCLcBGAsYHQ/s640/1-6.jpg)
Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibari, Mhe.Khamis Juma Mwalim, akifafanua jambo kwa wajumbe na wageni wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (hawapo pichani) wakiongozwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) wakati wa kikao kifupi kilichofanyika ofisini kwake baada ya kutembelewa na ugeni huo loe Juni 4, 2020 Mjini...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-9iQdVgD7Kbs/VepIvocO0VI/AAAAAAABgFk/BbGHOKLg2Dw/s72-c/Kasim%2BMsham.jpg)
MGOMBEA MWENZA WA UKAWA AMNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KISARAWE RASHID MWISHEHE "KINGWENDU"
![](http://2.bp.blogspot.com/-9iQdVgD7Kbs/VepIvocO0VI/AAAAAAABgFk/BbGHOKLg2Dw/s640/Kasim%2BMsham.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-5eDMxtuCzGE/VepIm1dnDxI/AAAAAAABgFE/xIvF9zITspE/s640/umati%2B1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-mwdG9uRX5fY/VepIvXFuVjI/AAAAAAABgFg/_onu9TBogyk/s640/umati.jpg)
9 years ago
VijimamboUPDATES: MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA SHINYANGA MJINI INASEMEKANA AMETEKWA NA KUNYANG’ANYWA FOMU YA UBUNGE
Chanzo chetu kilijaribu kuzungumza na mwenezi wa jimbo hilo ili kuthibitisha tukio hilo lakini pia simu ya mgombea ilikuwa haipatikani.
Chanzo chetu kimeongea na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha tukio hilo.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
Chanzo:...