Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa aahidi bandari ya kisasa Kigoma

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amewaahidi wakazi wa mkoa wa Kigoma kuwa atajenga bandari ya kisasa ikiwa watamchagua kuwa rais wa awamu ya tano katika uchaguzi mkuu ujao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mgombea CUF aahidi kusimamia bandari

Mgombea ubunge wa Jimbo la Tanga mjini, Mussa Mbarouk (CUF), amesema endapo atachaguliwa atahakikisha Bandari ya Tanga inatumika katika shughuli zote za upakiaji na upakuaji wa mafuta na mizigo.

 

11 years ago

Mwananchi

JK aahidi kujenga magereza ya kisasa

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameahidi kuwa Serikali itajenga magereza ya kisasa na yenye hadhi nchini ili kupunguza msongamano wa wafungwa gerezani na kukiri hali ni mbaya kwani mrundikano wa mahabusu na wafungwa ni mkubwa na kuchangia wafungwa kulala mzungu wa nne.

 

10 years ago

Vijimambo

MIUNDOMBINU YA BANDARI YA KIGOMA KUBORESHWA NA KUPANULIWA

Mkuu wa Bandari ya Kigoma, Bw. Athuman Malibamba (Kulia) akimkaribisha Kiongozi wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (Kushoto) mara alipofika kujionea maendeleo ya bandari hiyo.Sehemu ya chelezo zinazotumika kwa ajili ya matengenezo ya meli na boti katika Bandari ya Kigoma.Mkuu wa Bandari ya Kigoma, Bw. Athuman Malibamba (Katikati mbele) akifafanua jambo kwa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya...

 

10 years ago

Habarileo

Zitto aahidi barabara za lami Kigoma

KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Kabwe Zitto amesema kama wananchi wakiwachagua wagombea wa ubunge katika majimbo manane wa mkoa wa Kigoma kutoka chama hicho, watahakikisha barabara kutoka mji wa Nyakanazi yenye urefu wa kilometa 340 inajengwa kwa kiwango cha lami.

 

10 years ago

Mwananchi

Rungwe aahidi uchumi wa viwanda Kigoma

Mgombea urais wa Chaumma, Hashimu Rungwe amesema wananchi wakimpatia ridhaa ya kuongoza Tanzania, ataubadili Mkoa wa Kigoma kwa kuleta maendeleo kupitia viwanda.

 

10 years ago

Mwananchi

Magufuli aahidi makubwa Tabora na Kigoma

Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ameahidi kushughulikia matatizo yanayowakabili wananchi wa kata ya Nguruka, jimbo la Kigoma Kusini yeye mwenyewe na kusema atakayechaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo amwachie yeye kazi hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

BILIONEA DANGOTE AKAGUA UFUKWE ATAKAOJENGA BANDARI YAKE YA KISASA MTWARA

 Mfanyabiashara maarufu Afrika, ambaye ni Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dabgote akinyoosha mkono kuangalia eneo la ufukwe wa Bahari ya Hindi katika Kijiji cha Mgao, Kata ya Maumbu, Tarafa ya Mayanga, Mtwara Vijijini, ambapo atajenga bandari yake ya kisasa kwa ajili kusafirisha saruji itakayozalishwa kwenye kiwanda chake kikubwa kinachojengwa katika Kijiji cha Msijute. Alhaji Dangote akiwa na viongozi wa Kijiji cha Mgao pamoja na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mghwira aahidi Kigoma kuwa ghala la chakula

Mgombea wa urais wa ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema endapo akipewa ridhaa ya kuwa rais wa awamu ya tano atahakikisha Mkoa wa Kigoma unakuwa ghala la chakula.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani