Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mghwira aahidi Kigoma kuwa ghala la chakula

Mgombea wa urais wa ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema endapo akipewa ridhaa ya kuwa rais wa awamu ya tano atahakikisha Mkoa wa Kigoma unakuwa ghala la chakula.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mghwira aahidi lami Tunduru

Mgombea urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema atahakikisha inajengwa barabara kwa kiwango cha lami katika majimbo ya Tunduru Kaskazini na Kusini.

 

9 years ago

Mwananchi

Mghwira aahidi kusimamia mapato ya kodi kupunguza umasikini

Mgombea urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Anna Mghwira, amesema kuwa endapo wananchi watampa ridhaa ya kuingia madarakani atahakikisha anasimamia ukusanyaji kodi ili kupunguza gharama za maisha na kupambana na umasikini.

 

9 years ago

Mwananchi

ACT-Wazalendo wazindua kampeni, Mghwira aahidi serikali ya umoja

Chama cha ACT-Wazalendo wazindua rasmi kampeni zao kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba mwaka huu.  Katika uzinduzi huo, mgombea wa Urais wa chama hich, Anna Mghwira ameahidi kuunda serikali ya umoja wa kitaifa endapo atashinda urais.

 

9 years ago

Mwananchi

Mghwira: Nitamteua Magufuli kuwa waziri

Mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema akipata ridhaa ya wananchi kuwa rais wa Tanzania, atamteua mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli kuwa Waziri wa Ujenzi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mghwira: Hakuna sababu ya Watanzania kuwa maskini

Mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema Watanzania hawana sababu ya kuwa maskini, bali ni kutokana na mfumo mbovu uliowekwa na chama tawala.

 

9 years ago

Habarileo

Zitto aahidi barabara za lami Kigoma

KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Kabwe Zitto amesema kama wananchi wakiwachagua wagombea wa ubunge katika majimbo manane wa mkoa wa Kigoma kutoka chama hicho, watahakikisha barabara kutoka mji wa Nyakanazi yenye urefu wa kilometa 340 inajengwa kwa kiwango cha lami.

 

9 years ago

Mwananchi

Rungwe aahidi uchumi wa viwanda Kigoma

Mgombea urais wa Chaumma, Hashimu Rungwe amesema wananchi wakimpatia ridhaa ya kuongoza Tanzania, ataubadili Mkoa wa Kigoma kwa kuleta maendeleo kupitia viwanda.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa aahidi bandari ya kisasa Kigoma

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amewaahidi wakazi wa mkoa wa Kigoma kuwa atajenga bandari ya kisasa ikiwa watamchagua kuwa rais wa awamu ya tano katika uchaguzi mkuu ujao.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli aahidi makubwa Tabora na Kigoma

Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ameahidi kushughulikia matatizo yanayowakabili wananchi wa kata ya Nguruka, jimbo la Kigoma Kusini yeye mwenyewe na kusema atakayechaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo amwachie yeye kazi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani