Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rungwe aahidi uchumi wa viwanda Kigoma

Mgombea urais wa Chaumma, Hashimu Rungwe amesema wananchi wakimpatia ridhaa ya kuongoza Tanzania, ataubadili Mkoa wa Kigoma kwa kuleta maendeleo kupitia viwanda.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Rungwe aahidi kuteua mawaziri wasiozidi 20

Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amesema iwapo atachaguliwa katika uchaguzi mkuu Oktoba 25, ataunda baraza la mawaziri dogo lenye watu wasiozidi 20.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa aahidi bandari ya kisasa Kigoma

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amewaahidi wakazi wa mkoa wa Kigoma kuwa atajenga bandari ya kisasa ikiwa watamchagua kuwa rais wa awamu ya tano katika uchaguzi mkuu ujao.

 

9 years ago

Habarileo

Zitto aahidi barabara za lami Kigoma

KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Kabwe Zitto amesema kama wananchi wakiwachagua wagombea wa ubunge katika majimbo manane wa mkoa wa Kigoma kutoka chama hicho, watahakikisha barabara kutoka mji wa Nyakanazi yenye urefu wa kilometa 340 inajengwa kwa kiwango cha lami.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli aahidi makubwa Tabora na Kigoma

Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ameahidi kushughulikia matatizo yanayowakabili wananchi wa kata ya Nguruka, jimbo la Kigoma Kusini yeye mwenyewe na kusema atakayechaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo amwachie yeye kazi hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania yasifiwa kwa uchumi wa viwanda

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda.TANZANIA imesifiwa kwa kuonesha nia ya kuelekea kwenye uchumi wa viwanda baada ya kufanya jitihada za uboreshaji wa miundombinu tofauti, ikiwemo barabara na ujenzi wa bomba ya gesi kwa ajili ya matumizi ya viwandani na majumbani.

 

9 years ago

Mwananchi

Mghwira aahidi Kigoma kuwa ghala la chakula

Mgombea wa urais wa ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema endapo akipewa ridhaa ya kuwa rais wa awamu ya tano atahakikisha Mkoa wa Kigoma unakuwa ghala la chakula.

 

9 years ago

StarTV

Anna Mgwila aahidi maendeleo ya uchumi Tarime

MGOMBEA uraisi kwa tiketi ya chama cha ACT  wazalendo   mama Anna Mgwila amesema kwamba kama wananchi  watampatia ridhaa ya kuwaongoza katika kipindi cha miaka mitano ijayo atahakikisha wananchi wa Tarime wananufaika kutokana na wilaya hiyo kuwa na mgodi mkubwa wa kuchimba madini ya dhahabu uliopo Nyamongo .

Mgwila ameyasema hayo katika mIkutano ya kampeni aliyo ifanya katika mji wa nyamongo na Tarime mjini

Mama anna mgwila  mgombea uraisi kwa tiketi ya Act wazalendo amesema, kama atapewa...

 

9 years ago

Raia Mwema

Kuingia uchumi wa viwanda si lelemama, tupunguze misamiati

MIAKA 53 iliyopita, mwaka 1962, mwaka mmoja tu baada ya Uhuru wa Tanganyika; Baba wa Taifa, Mwali

Joseph Mihangwa

 

10 years ago

Habarileo

Membe kupeleka nchi kwenye uchumi wa viwanda

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe, akihutubia wananchi mkoani Lindi wakati akitangaza nia.WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ametangaza rasmi kuwania urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM}, huku akitamba ataipeleka nchi katika uchumi wa viwanda unaobebwa na kilimo na kuahidi kujenga serikali ya waadilifu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani