Rungwe aahidi kuteua mawaziri wasiozidi 20
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amesema iwapo atachaguliwa katika uchaguzi mkuu Oktoba 25, ataunda baraza la mawaziri dogo lenye watu wasiozidi 20.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Rungwe aahidi uchumi wa viwanda Kigoma
10 years ago
Habarileo19 Oct
Kila kituo kuhudumia wapigakura wasiozidi 500
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeandaa vituo vya kupigia kura 64,736. Kati ya hivyo, Tanzania Bara ina vituo 63,156 na Zanzibar 1,580 na kila kituo kimepangwa kuwa na uwezo wa kuhudumia wapiga kura 450 na wasiozidi 500.
9 years ago
Mwananchi13 Nov
Dk Magufuli kuteua wabunge punde
10 years ago
Mwananchi10 Jun
CCM haiwezi kuteua mgombea urais muadilifu
9 years ago
StarTV14 Nov
Rais Magufuli aombwa kuteua Mbunge atakayewakilisha wafanyabiashara wadogowadogo
Wamachinga mkoani Mbeya wamuomba Rais John Magufuli kutenga nafasi moja kati ya viti kumi vya wabunge wa kuteuliwa vilivyo chini ya mamlaka yake kwa ajili ya mwakilishi mmoja wa kundi la vijana wanaofanya biashara ndogondogo kote nchini.
Wamachinga hao wamemuomba Rais Magufuli kumteua Mbunge wa kundi hilo maalum nchini ili kuwapa fursa ya kufikisha kero na mapendekezo yao serikalini kwa lengo la kuondoa changamoto zinazowakabili katika shughuli zao na misuguano iliyopo baina yao na...
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Kim anatumia vigezo vipi kuteua nyota Taifa Stars?
TANZANIA imekuwa ikifananishwa na kichwa cha mwendawazimu katika soka kutokana na kufanya vibaya kwa timu zake; iwe katika mashindano ya ngazi ya klabu hadi timu za taifa. Kwa upande wa...
10 years ago
GPL
MARA BAADA YA MUHONGO KUJIUZULU NA JK KUTEUA WAPYA, ZITTO ATOA YA MAYONI!
9 years ago
Michuzi