Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Magufuli aombwa kuteua Mbunge atakayewakilisha wafanyabiashara wadogowadogo

Wamachinga mkoani Mbeya wamuomba Rais John Magufuli kutenga nafasi moja kati ya viti kumi vya wabunge wa kuteuliwa vilivyo chini ya mamlaka yake kwa ajili ya mwakilishi mmoja wa kundi la vijana wanaofanya biashara ndogondogo kote nchini.

Wamachinga hao wamemuomba Rais Magufuli kumteua Mbunge wa kundi hilo maalum nchini ili kuwapa fursa ya kufikisha kero na mapendekezo yao serikalini kwa lengo la kuondoa changamoto zinazowakabili katika shughuli zao na misuguano iliyopo baina yao na...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

SUGU AITAKA SERIKALI KUWASAIDIA WAFANYABIASHARA WADOGOWADOGO

Kinachoendelea bungeni mjini Dodoma, baada ya bajeti kusomwa wiki iliy opita, sasa hivi ni wakati wa wabunge kuchangia mawazo na mitazamo yao kwenye bajeti hii ya mwaka wa fedha 2014/2015,, mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu, hivi karibuni aliishauri serikali kuwasaidia wafanyabiashara wadogo wadogo ili kuweza kunyanyua uchumi wao na taifa kwa ujumla.

 

9 years ago

Mwananchi

Rais Magufuli sasa aombwa kutaifisha mashamba Kibaha

Wakazi wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani wamemuomba Rais John Magufuli kutaifisha mashamba yaliyotelekezwa na kugeuka mapori ili ayarudishe serikalini kwa ajili ya shughuli za kiuchumi.

 

9 years ago

StarTV

Rais Magufuli aombwa kuwachukulia hatua majangili wa meno ya tembo

Kamati ya Okoa Tembo Tanzania imemuandikia barua Rais John Magufuli ya kumuomba kuwachukulia hatua majangili na wafanyabiashara haramu ya Meno ya Tembo Tanzania ili kupunguza mauaji ya Tembo nchini.

Mwaka 2009 Tanzania ilikuwa na idadi ya Tembo 109,00 lakini hadi kufikia mwaka 2014 idadi ilipungua kwa asilimia 60 mpaka kufikia Tembo 43, 000 ambapo jitihada za ziada zinahitajika ili kuwanusuru Tembo waliobaki.

 Kutokana na tatizo hilo kamati Hiyo ya Okoa Tembo wa Tanzania imemtaka Rais...

 

10 years ago

Habarileo

Pinda aombwa kumaliza mgogoro wa wafanyabiashara

SERIKALI imetakiwa kuchukua hatua za haraka kuzuia migogoro ya jumuiya ya wafanyabiashara nchini kwa kuwa imekuwa chanzo kikubwa cha kuporomoka kwa uchumi wa nchi.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli ajitwisha mzigo wa wachimbaji wadogowadogo

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli ameahidi kumaliza kero ya muda mrefu inayowakabili wachimbaji wadogowadogo nchini kwa kuwatafutia maeneo maalumu kwa ajili ya shughuli zao za uchimbaji.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli kuteua wabunge punde

Rais John Magufuli anatarajiwa, wakati wowote kuanzia sasa, kuwateua baadhi ya watu wenye sifa kuwa wabunge ili aweze kuwapa majukumu ya kuongoza wizara atakapopanga safu ya Baraza la Mawaziri, hivi karibuni.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AAHIDI NEEMA KWA WAVUVI, WACHIMBAJI WADOGOWADOGO MWANZA NA GEITA

Dk John Magufuli akihutubia nyomi la watu lililofurika katika Kijiji cha Nkome, Geita Vijijini. Magufuli akizuru makaburi ya babu yake  Marko Nyahenga na bibi yake Anastazia yaliyopo kijiji cha Katoma, Geita Vijijini.
Ibada fupi ya maombi ikifanyika kuwaombea marehemu…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani