Rais Magufuli aombwa kuwachukulia hatua majangili wa meno ya tembo
Kamati ya Okoa Tembo Tanzania imemuandikia barua Rais John Magufuli ya kumuomba kuwachukulia hatua majangili na wafanyabiashara haramu ya Meno ya Tembo Tanzania ili kupunguza mauaji ya Tembo nchini.
Mwaka 2009 Tanzania ilikuwa na idadi ya Tembo 109,00 lakini hadi kufikia mwaka 2014 idadi ilipungua kwa asilimia 60 mpaka kufikia Tembo 43, 000 ambapo jitihada za ziada zinahitajika ili kuwanusuru Tembo waliobaki.
Kutokana na tatizo hilo kamati Hiyo ya Okoa Tembo wa Tanzania imemtaka Rais...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
WAMWANDIKIA BARUA YA WAZI RAIS DKT MAGUFULI ACHUKUE HATUA DHIDI YA UJANGILI WA BIASHARA HARAMU YA MENO YA TEMBO.

11 years ago
Michuzi02 Apr
MAJANGILI 6 YAKAMATWA NA MENO YA TEMBO 53 YENYE JUMLA YA KILO 169.7




Na Pamela Mollel,Arusha Wizara ya maliasili na utalii imetangaza kukamatwa kwa meno 53 ya tembo yenye jumla ya...
11 years ago
Michuzi.jpg)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
GPL
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
9 years ago
Mwananchi09 Dec
Rais Magufuli sasa aombwa kutaifisha mashamba Kibaha
9 years ago
StarTV14 Nov
Rais Magufuli aombwa kuteua Mbunge atakayewakilisha wafanyabiashara wadogowadogo
Wamachinga mkoani Mbeya wamuomba Rais John Magufuli kutenga nafasi moja kati ya viti kumi vya wabunge wa kuteuliwa vilivyo chini ya mamlaka yake kwa ajili ya mwakilishi mmoja wa kundi la vijana wanaofanya biashara ndogondogo kote nchini.
Wamachinga hao wamemuomba Rais Magufuli kumteua Mbunge wa kundi hilo maalum nchini ili kuwapa fursa ya kufikisha kero na mapendekezo yao serikalini kwa lengo la kuondoa changamoto zinazowakabili katika shughuli zao na misuguano iliyopo baina yao na...
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Wawezeshaji wa kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamtaka serikali kuchukua hatua kunusuru Tembo nchini
Miongoni mwa matukio ya tembo kufanyiwa ujangili kwa kutolewa pembe zake kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya marigafi.
Na Rabi Hume
Vijana wa kitanzania ambao wameungana na kuanzisha kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamemtumia barua ya wazi rais Dr. John Magufuli kwa kumtaka serikali yake ichukue hatua za makusudi ili kuokoa tembo waliosalia nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mratibu wa kampeni hiyo Shubert Mwarabu amesema wao kama vijana wameamua kumwandikia barua hiyo rais...
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
TRA kuwachukulia hatua wafanyabiashara
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mwanza, imesema haitasita kuwachukulia hatua za kisheria wafanyabiashara wenye mitaji kuanzia sh. milioni 18 ambao hawatumii mashine za elektroniki (EFD’s) kama ilivyoagizwa na Serikali....