WAMWANDIKIA BARUA YA WAZI RAIS DKT MAGUFULI ACHUKUE HATUA DHIDI YA UJANGILI WA BIASHARA HARAMU YA MENO YA TEMBO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-rbZ7AdGlfG8/VkRWQVDZFfI/AAAAAAAIFaA/2x3ds2STkww/s72-c/w.jpg)
Kiongozi wa kampeni ya Okoa Tembo wa Tanzania,Shubert Mwarabu akizungumza na Waandishi wa habari ndani ya ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO,kuhusiana na Barua yao ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli juu ya mauaji ya Tembo ambayo yamekuwa yakifanyika hapa nchini kwa kiwango kikubwa.Katika barua hiyo ya wazi,uongozi wa kampeni hiyo umetoa wito kwa Serikali kutekeleza ama kufanya yafuatayo1.kuwakamata na kuwashitaki wafanyabishara wakubwa wa meno ya Tembo nchini,bila kujali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV13 Nov
Rais Magufuli aombwa kuwachukulia hatua majangili wa meno ya tembo
Kamati ya Okoa Tembo Tanzania imemuandikia barua Rais John Magufuli ya kumuomba kuwachukulia hatua majangili na wafanyabiashara haramu ya Meno ya Tembo Tanzania ili kupunguza mauaji ya Tembo nchini.
Mwaka 2009 Tanzania ilikuwa na idadi ya Tembo 109,00 lakini hadi kufikia mwaka 2014 idadi ilipungua kwa asilimia 60 mpaka kufikia Tembo 43, 000 ambapo jitihada za ziada zinahitajika ili kuwanusuru Tembo waliobaki.
Kutokana na tatizo hilo kamati Hiyo ya Okoa Tembo wa Tanzania imemtaka Rais...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-E7XENtkTIcA/U2zMO1-LY3I/AAAAAAAFggU/ggFfalLfFvw/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU MBILI LA KUDHIBITI UJANGILI NA KUTOKOMEZA MAUAJI DHIDI YA TEMBO
![](http://3.bp.blogspot.com/-E7XENtkTIcA/U2zMO1-LY3I/AAAAAAAFggU/ggFfalLfFvw/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-uL6HBl09Ff0/U2zMNMg91YI/AAAAAAAFggQ/-PmQ35QicAQ/s1600/01.jpg)
Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia...
11 years ago
Dewji Blog10 May
Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua kongamano la siku mbili la kudhibiti Ujangili na kutokomeza mauaji dhidi ya Tembo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Hoteli ya Hyat Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam jana Mei 9, 2014 kwa ajili ya kufungua Kongamano la siku mbili la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo linatarajia kumalizika leo. (Picha na OMR).
Washiriki wa Kongamano hilo, wakisimama kumkaribisha mgeni rasmi Makamu...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-UgqiMGjIr40/U3ZbeIw03BI/AAAAAAAFiJc/tNizcz8nI6s/s72-c/POLISI+LOGO+-+Copy.jpg)
Jeshi la Polisi Mkoani Lindi lamsaka askari Mwenye tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya Meno ya Tembo
![](http://4.bp.blogspot.com/-UgqiMGjIr40/U3ZbeIw03BI/AAAAAAAFiJc/tNizcz8nI6s/s1600/POLISI+LOGO+-+Copy.jpg)
Hayo yamebainishwa na Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi,Kamishna Msaidizi Renatha Mzinga alipokuwa Akitoa taarifa kwa waandishi...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Dk Slaa azidi kumbana Kikwete achukue hatua dhidi ya Prof Muhongo
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Tanzania kitovu ujangili meno ya tembo EAC
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Ripoti yaibua mapya ujangili meno ya tembo
9 years ago
Michuzi12 Nov
BARUA YA WAZI KWA RAIS DR. JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKA KWA MDAU WA USALAMA BARABARAN
![](https://scontent-waw1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xpf1/v/t1.0-9/11215818_1645853955683038_3394542812123695413_n.jpg?oh=954015a4699df4509dcc0343f155dbec&oe=56EE4B6D)
Nachukua fursa hii kukupongeza kwa kuchaguliwa kuliongoza taifa letu la Tanzania kama Rais wa awamu ya tano.
Nianze barua yangu kwa kugusia changamoto ya ajali nchini. Ajali limekuwa ni tatizo sugu licha ya juhudi mbalimbali zinazofanywa na wadau mbalimbali kutoka taasisi binafsi na serikali. Ni hivi karibuni ripoti ya mwenendo wa ajali za barabarani imetolewa na Tanzania ikishika nafasi ya tano kwa kuwa na matukio...