Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Magufuli kuteua wabunge punde

Rais John Magufuli anatarajiwa, wakati wowote kuanzia sasa, kuwateua baadhi ya watu wenye sifa kuwa wabunge ili aweze kuwapa majukumu ya kuongoza wizara atakapopanga safu ya Baraza la Mawaziri, hivi karibuni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Rais Magufuli aombwa kuteua Mbunge atakayewakilisha wafanyabiashara wadogowadogo

Wamachinga mkoani Mbeya wamuomba Rais John Magufuli kutenga nafasi moja kati ya viti kumi vya wabunge wa kuteuliwa vilivyo chini ya mamlaka yake kwa ajili ya mwakilishi mmoja wa kundi la vijana wanaofanya biashara ndogondogo kote nchini.

Wamachinga hao wamemuomba Rais Magufuli kumteua Mbunge wa kundi hilo maalum nchini ili kuwapa fursa ya kufikisha kero na mapendekezo yao serikalini kwa lengo la kuondoa changamoto zinazowakabili katika shughuli zao na misuguano iliyopo baina yao na...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wamkaanga Magufuli

Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli amekuwa hapati wakati mgumu anapowasilisha bajeti ya wizara hiyo, lakini hali ilikuwa tofauti jana wakati wabunge walipoungana kueleza hofu yao katika utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara kutokana na madeni ya makandarasi.

 

9 years ago

Mwananchi

Rungwe aahidi kuteua mawaziri wasiozidi 20

Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amesema iwapo atachaguliwa katika uchaguzi mkuu Oktoba 25, ataunda baraza la mawaziri dogo lenye watu wasiozidi 20.

 

9 years ago

Habarileo

Wabunge wasifu hotuba ya Magufuli

WABUNGE wamesifu hotuba ya ufunguzi wa Bunge la 11 iliyotolewa bungeni jana na Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Hotuba hiyo ni ufunguzi rasmi wa Bunge la 11, ambapo mkutano wa kwanza wa bunge hilo ulianza Jumanne wiki hii mjini hapa.

 

9 years ago

Mwananchi

Wabunge walilia ahadi za Dk Magufuli

Wabunge wateule wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wamesema wanatarajia Rais Mteule Dk John Magufuli atafanya mabadiliko kiutendaji, kuimarisha Muungano, huku wengi wakitarajia kutekelezwa kwa ahadi alizotoa wakati wa kampeni.

 

9 years ago

Mwananchi

Wabunge waitwa kwa Dk Magufuli

Wabunge wote wateule, wametakiwa kufika Ofisi Ndogo ya Bunge Dar es Salaam, ili kushiriki hafla ya kuapishwa kwa Rais mteule, Dk John Magufuli.

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli awashika pabaya wabunge

RAIS*Azuia safari zao nje ya nchi, watakiwa wawe na vibali

*Baadhi yao wajikuta wakikwama Uwanja wa Ndege VIP

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

SIKU chache baada ya Rais Dk. John Magufuli kupiga marufuku safari za nje kwa watumishi wa Serikali bila kibali, safari hii kibao kimewagekia wabunge baada ya kuzuiwa kusafiri bila ruhusa maalumu, MTANZANIA imebaini.

Hali hiyo imeonekana kuwavuruga wabunge, kwani baadhi yao wamejikuta wakikwama katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, baada...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM haiwezi kuteua mgombea urais muadilifu

Wagombea urais kupitia CCM wanachukua fomu za chama hicho. Baadhi yao wamefanya kufuru za matumizi ya mbwembwe za kutangaza nia ya kugombea urais.

 

9 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya punde zaidi ya uchaguzi Tanzania

Haya ndiyo matokeo ya uchaguzi wa urais Tanzania jimbo baada ya jimbo, kama yanavyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani