Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM haiwezi kuteua mgombea urais muadilifu

Wagombea urais kupitia CCM wanachukua fomu za chama hicho. Baadhi yao wamefanya kufuru za matumizi ya mbwembwe za kutangaza nia ya kugombea urais.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea Mwenza  wa Urais Mh. Samia Suluhu  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.   Baadhi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Hatufukuzi mgombea urais CCM’

Wakati Kamati Kuu ya chama tawala, CCM ikimaliza vikao vyake mjini hapa, Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana amesema mambo mengi yanayozungumzwa kuhusu baadhi ya wanachama wanaotajwa kuwania urais hayana ukweli, wala hakuna atakayefukuzwa uanachama.

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea Urais CCM Julai 12

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.MGOMBEA Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) atajulikana Julai 12 mwaka huu baada ya kukamilisha mchakato mzima wa kuomba kuwania nafasi hiyo, kutafuta wadhamini na kujadiliwa katika chama hicho.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mfahamu Magufuli mgombea urais wa CCM

Dr. John Pombe Pombe Joseph Magufuli Mgombea urais kupita CCM kitaaluma ni Mwalimu na mtalaamu wa Kemia aliyezaliwa October 29 mwaka 1959 huko Chato mkoani Kagera Kaskazini magharibi mwa Tanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Sifa kumi za mgombea urais wa CCM

Hivi karibuni nimesaidiana kimawazo na Watanzania wenzangu katika kufanya uchambuzi wa watu wanaotajwa au waliojitangaza kuwa watawania uteule wa urais kupitia CCM na nalishukuru gazeti hili kwa kukubali kuchapisha maoni yangu.

 

10 years ago

Habarileo

CCM Iringa wataka mgombea safi wa Urais

WANACHAMA na wafuasi wa CCM mkoani Iringa wameutaka uongozi wa juu wa chama hicho kuteua mgombea urais aliyemsafi ili kukifanya chama hicho kisitumie nguvu kumnadi.

 

10 years ago

Mwananchi

Ugumu walioupata CCM kumpata mgombea urais

Kuna wimbo wa Bendi ya Marquiz du Zaire `unaosema ‘tulipoanza mimi na yeye’. Wimbo huu una maneno mengi yenye hisia yakiwamo: ‘Sikutegemea kama mambo yatakuwa mazuri eeeh, sababu mtu mwenyewe alikuwa maarufu sana aaaahaaa. Mvumilivu hula mbivu yeye, aahaaa iyooooooo.’ Wimbo huu ukamalizia kwa kibwagizo: Jamani leo ni kama ndoto, yuko mikononi mwangu eeeh.

 

10 years ago

Mwananchi

‘CCM itateua mgombea bora wa urais 2015’

Mbunge wa Simanjiro, mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amesema ana imani kuwa Kamati Kuu, Halmashauri Kuu na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), hawatafanya makosa ya kumpitisha mgombea wa urais asiye chaguo la wengi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani