Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘CCM itateua mgombea bora wa urais 2015’

Mbunge wa Simanjiro, mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amesema ana imani kuwa Kamati Kuu, Halmashauri Kuu na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), hawatafanya makosa ya kumpitisha mgombea wa urais asiye chaguo la wengi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sifa 10 za mgombea urais bora wa upinzani 2015

Ni jana tu nimemaliza uchambuzi wa watu wanaotajwa au waliojitokeza kugombea urais au wale ambao hawajajitangaza na hawana nia lakini jamii ndani na nje ya vyama vyao inawataja kama watu wenye sifa, uwezo na hata vigezo vya kuiongoza nchi yetu, kutoka vyama vya upinzani.

 

10 years ago

GPL

MAGUFULI NDIYE MGOMBEA URAIS WA CCM 2015

MBUNGE wa Biharamulo Mashariki (CCM) na Waziri wa Ujenzi, Mhe. John Pombe Magufuli ameshinda katika uchaguzi wa kumpata mgombea urais wa CCM kwa mwaka 2015. Magufuli ameshinda baada ya kupata jumla ya kura 2104 sawa na 87.1%, Balozi Amina Salum Ali amepata kura 253 sawa na 10.5% na Dk. Asha-Rose Migiro 59 sawa na 2.4%. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anne Makinda ndiye aliyepewa jukumu la kutangaza...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea Mwenza  wa Urais Mh. Samia Suluhu  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.   Baadhi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE.JOHN MAGUFULI NDIYE MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUPITIA CCM 2015

Kura zilizopigwa zilikuwa ni kura 2422, na kura zilizoharibika ni kura 6. Kulingana na kura zilizoharibika basi kura halali ni jumla ya kura 2416. 

Dr. Asha Rose Migiro amepata jumla ya kura 59 sawa na na asilimia 2.4%

Balozi Amina Ali amepata jumla ya kura 253 sawa na asilimia 10.5%

Mhe. John Magufuli amepata jumla ya kura 2104 sawa na asilimia 87.1%

 

10 years ago

Vijimambo

Hotuba ya Dr John Pombe Magufuli kukubali kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM 2015

Mhe Dk John Pombe Magufuli akihutubia wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM 2015 huko Dodoma wakati akikubali ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kama mgombea wa uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015


 

9 years ago

Dewji Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani