Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LIVE STREAMING: MKUTANO MKUU WA CCM 2015 KUMPATA MGOMBEA URAIS

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Mwema

Kanuni 5 bubu za kumpata mgombea urais wa CCM

HIVI karibuni, kipenga cha mchakato wa kuwania nafasi ya kuteuliwa na CCM kuwa mgombea urais kili

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Ugumu walioupata CCM kumpata mgombea urais

Kuna wimbo wa Bendi ya Marquiz du Zaire `unaosema ‘tulipoanza mimi na yeye’. Wimbo huu una maneno mengi yenye hisia yakiwamo: ‘Sikutegemea kama mambo yatakuwa mazuri eeeh, sababu mtu mwenyewe alikuwa maarufu sana aaaahaaa. Mvumilivu hula mbivu yeye, aahaaa iyooooooo.’ Wimbo huu ukamalizia kwa kibwagizo: Jamani leo ni kama ndoto, yuko mikononi mwangu eeeh.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Pongezi CCM kumpata mgombea urais

>Hayawi, hayawi yamekuwa. Chama cha Mapinduzi (CCM), jana kilifanikiwa kumpata mgombea wake atakayepeperusha bendera yake katika kinyang’anyiro cha kugombea kiti cha urais katika Uchaguzi Mkuu ujao. Mgombea huyo, Dk John Magufuli alichaguliwa na Mkutano Mkuu jana naye alimteua Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza.

 

10 years ago

GPL

KINGUNGE: MCHAKATO WA KUMPATA MGOMBEA URAIS CCM ULIKUWA BATILI

Mzee Kingunge akiongea na vyombo vya habari. LEO Mzee Kingunge kaongea na vyombo vya habari, ameanza kwa kupinga mfumo uliotumika kuwachuja wagombea wa urais kupitia CCM.
Kingunge amesema "Kamati ya Maadili huko nyuma ilikuwa ni chombo cha kuandaa taarifa ili kuisadia Kamati Kuu katika kuwajadili wagombea"
Amesema Kamati ya Maadili ya safari hii imefanya kazi… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Warioba: CCM ina kazi ngumu kumpata mgombea urais

Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba amesema CCM inakabiliwa na kazi ngumu ya kupata mgombea wa urais atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi wa mwaka huu, akionya kuwa makundi ya urais yasipomalizwa yanaweza kufika hadi ngazi ya kata.

 

5 years ago

Michuzi

Mkutano Mkuu wa TLP kumpitisha Mgombea Urais Dkt. John Pombe Magufuli wa CCM.

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii

Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kimesema kuwa Mkutano mkuu wa chama hicho  utaofanyika Mei 9 mwaka huu Kitapitisha Mgombea wa Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt.John Pombe Magufuli.

Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Chama hicho Agustino Latonga Mrema amesema kuwa jina Mgombea Urais lilisgapitishwa na Halmashauri Kuu Chama na kilichobaki ni kudhibitisha jina la Mgombea huyo.

Amesema kuwa katika uchaguzi mkuu hakuna haja ya kuweka Mgombea...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: MKUTANO MKUU MAALUM WA UCHAGUZI WA MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM WAFANYIKA USIKU HUU

 Mmoja wa waomba kugombea urais kwa tiketi ya CCM, waliotinga tatu bora, John Magufuli akingia katika ukumbi wa Kisasa wa mikutano wa CCM, wakati wa mkutano mkuu wa CCM, uliofanya uchaguzi leo usiku wa kupata mgombea mmoja wa urais kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu Picha nyingine zinazofuata ni za matukio mbalimbali ya mkutano huo mkuu maalum wa CCM. Kumradhi hazitakuwa na maelezo kutokana na muda, maelezo. Na kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUU ADC WAMPITISHA, CHIEF LUTASOLA YEMBA KUWA MGOMBEA URAIS TANZANIA BARA, SAID MIRAJI ABDULLAH MGOMBEA MWENZA

 Mgombea urais wa chama cha ADC,  Zanzibar, Hamad Rashid Hamad, akihutubia katika mkutano huo. Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bara kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Chief Lutasola Yemba (katikati), akimtambulisha mgombea mwenza wake, Said Miraji (kulia), katika mkutano mkuu wa tatu wa chama hicho uliofanyika Dar es Salaam leo. Kushoto ni mgombea urais wa chama hicho, Zanzibar, Hamad Rashid Hamad.
 Makamu Mwenyekiti wa ADC, Zanzibar, Faki Hamisi Silima,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani