Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHAKATO WA KUMPATA MGOMBEA URAIS CCM

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KINGUNGE: MCHAKATO WA KUMPATA MGOMBEA URAIS CCM ULIKUWA BATILI

Mzee Kingunge akiongea na vyombo vya habari. LEO Mzee Kingunge kaongea na vyombo vya habari, ameanza kwa kupinga mfumo uliotumika kuwachuja wagombea wa urais kupitia CCM.
Kingunge amesema "Kamati ya Maadili huko nyuma ilikuwa ni chombo cha kuandaa taarifa ili kuisadia Kamati Kuu katika kuwajadili wagombea"
Amesema Kamati ya Maadili ya safari hii imefanya kazi… ...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Pongezi CCM kumpata mgombea urais

>Hayawi, hayawi yamekuwa. Chama cha Mapinduzi (CCM), jana kilifanikiwa kumpata mgombea wake atakayepeperusha bendera yake katika kinyang’anyiro cha kugombea kiti cha urais katika Uchaguzi Mkuu ujao. Mgombea huyo, Dk John Magufuli alichaguliwa na Mkutano Mkuu jana naye alimteua Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza.

 

10 years ago

Mwananchi

Ugumu walioupata CCM kumpata mgombea urais

Kuna wimbo wa Bendi ya Marquiz du Zaire `unaosema ‘tulipoanza mimi na yeye’. Wimbo huu una maneno mengi yenye hisia yakiwamo: ‘Sikutegemea kama mambo yatakuwa mazuri eeeh, sababu mtu mwenyewe alikuwa maarufu sana aaaahaaa. Mvumilivu hula mbivu yeye, aahaaa iyooooooo.’ Wimbo huu ukamalizia kwa kibwagizo: Jamani leo ni kama ndoto, yuko mikononi mwangu eeeh.

 

10 years ago

Raia Mwema

Kanuni 5 bubu za kumpata mgombea urais wa CCM

HIVI karibuni, kipenga cha mchakato wa kuwania nafasi ya kuteuliwa na CCM kuwa mgombea urais kili

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Warioba: CCM ina kazi ngumu kumpata mgombea urais

Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba amesema CCM inakabiliwa na kazi ngumu ya kupata mgombea wa urais atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi wa mwaka huu, akionya kuwa makundi ya urais yasipomalizwa yanaweza kufika hadi ngazi ya kata.

 

9 years ago

Habarileo

CCM Dodoma yaanza mchakato kumpata Meya

KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeanzisha mchakato wa kumpata meya, naibu meya na katibu wa manispaa ya Dodoma. Kwa mujibu wa Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM, Dodoma mjini, Salum Kali, uchukuaji wa fomu ili kuwania nafasi hizo umeanza juzi na utadumu hadi kesho saa kumi jioni.

 

10 years ago

GPL

NAPE AELEZEA UTARATIBU WA KUMPATA MGOMBEA URAIS

Na waandishi wetu. Yafuatayo ni maswali na majibu kati ya mwandishi wetu Elvan Stambuli na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Nape Nnauye katika mazungumzo yaliyofanyika nyumbani kwake jijijini Dar es Salaam Jumamosi iliyopita.  Nape Nnauye akihojiwa na waandishi wa Gazeti la Uwazi pamoja na Global TV.…

 

10 years ago

GPL

KIKAO CHA UKAWA KUMPATA MGOMBEA URAIS KINAENDELEA MUDA HUU

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa (kulia) na Mwanasheria wa chama hicho, Tundu Lissu wakipata futari wakati wa mapumziko. KIKAO cha kumtafuta na kumtangaza mgombea urais kupitia Ukawa katika Ukumbi wa Hoteli ya Colosseum, Masaki jijini Dar es Salaam kinaendelea muda huu. Wajumbe wa kikao hicho wakipata futari wakati wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani