KINGUNGE: MCHAKATO WA KUMPATA MGOMBEA URAIS CCM ULIKUWA BATILI
Mzee Kingunge akiongea na vyombo vya habari. LEO Mzee Kingunge kaongea na vyombo vya habari, ameanza kwa kupinga mfumo uliotumika kuwachuja wagombea wa urais kupitia CCM. Kingunge amesema "Kamati ya Maadili huko nyuma ilikuwa ni chombo cha kuandaa taarifa ili kuisadia Kamati Kuu katika kuwajadili wagombea" Amesema Kamati ya Maadili ya safari hii imefanya kazi… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/W-BK82a1GsuXCbGfOQAYXI4VslD0ocqMkC4gFvKM*pzffdurbMxZeWI5kWvm*djCj3PDvMGWW7ha-hefaX1AZOKHWKI0KQm0/IMG20150710WA0034.jpg)
10 years ago
Raia Mwema08 Jul
Kanuni 5 bubu za kumpata mgombea urais wa CCM
HIVI karibuni, kipenga cha mchakato wa kuwania nafasi ya kuteuliwa na CCM kuwa mgombea urais kili
Mwandishi Wetu
10 years ago
Mwananchi15 Jul
Ugumu walioupata CCM kumpata mgombea urais
10 years ago
Mwananchi13 Jul
MAONI: Pongezi CCM kumpata mgombea urais
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Warioba: CCM ina kazi ngumu kumpata mgombea urais
10 years ago
GPL11 Jul
10 years ago
Dewji Blog28 Jun
Kingunge amdhamini Lowassa, asema mgombea urais wa CCM lazima akubalike na makundi yote, ndani na nje ya chama
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungian wananchi wakati akiwasili ofisi za CCM kata ya Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam, kutafuta wadhamini. (Picha na K-VIS MEDIA).
Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombali Mwiru, (kushoto), akijaza fomu za kumdhamini Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 27, 2015, wakati Mh. Lowassa, alipotua jijini Dar es Salaam...
9 years ago
Habarileo04 Dec
CCM Dodoma yaanza mchakato kumpata Meya
KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeanzisha mchakato wa kumpata meya, naibu meya na katibu wa manispaa ya Dodoma. Kwa mujibu wa Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM, Dodoma mjini, Salum Kali, uchukuaji wa fomu ili kuwania nafasi hizo umeanza juzi na utadumu hadi kesho saa kumi jioni.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/h2SvCI1KJvM-hUylLVlZF5yyNdjJ5WEphH4Nn0Tsm2qRGPKio8YbyV6dyKTf*jrva1*NLH8b1rv5x*kyFrb-ATmjJAUxEG48/Nape.jpg)
NAPE AELEZEA UTARATIBU WA KUMPATA MGOMBEA URAIS