Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge waitwa kwa Dk Magufuli

Wabunge wote wateule, wametakiwa kufika Ofisi Ndogo ya Bunge Dar es Salaam, ili kushiriki hafla ya kuapishwa kwa Rais mteule, Dk John Magufuli.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI AKABIDHI VITI VYA MWENDO (WHEELCHAIRS) KWA WABUNGE KWA AJILI YA WATOTO WENYE ULEMAVU


Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea shukurani za bila kushikana mikono na Mbunge wa Kilombero (kupitia tiketi ya CHADEMA) Mhe. Peter Ambrose Paciens Lijualikali baada ya kumkabidhi viti mwendo (Wheelchairs) 10 kwa ajili ya watoto wenye Ulemavu wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 5, 2020. Wanaoshuhudia ni Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson na Mke wa Balozi wa Tanzania nchini Israel Mama...

 

5 years ago

CCM Blog

WABUNGE WAPITISHA AZIMIO KUMPONGEZA DK.MAGUFULI, SPIKA JOB NDUGAI KWA KULIONGOZA VEMA BUNGE LA 11

Na Said Mwishehe, Michuzi TV

WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kauli moja wamepiga kura ya kupitisha Azimio la kumpongeza Rais Dk.John Magufuli kwa kufanikisha shughuli za Serikali kuhamia Dodoma ambapo wamekubaliana hakutakuwa na mtu mwingine yoyote anayeweza kuja kuiondoa Serikali na shughuli zake Dodoma.
Wakati Azimio la pili ambalo wabunge wamelipitisha linahusu kumpongezi kwa Spika wa Bunge Job Ndugai kutokana na mafanikio ambayo yamepatikana kwenye Bunge la...

 

5 years ago

Michuzi

WABUNGE WAPITISHA AZIMIO KUMPONGEZA DK.MAGUFULI, SPIKA JOB NDUGAI KWA KULIONGOZA VEMA BUNGE LA 11

Na Said Mwishehe, Michuzi TV

WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kauli moja wamepiga kura ya kupitisha Azimio la kumpongeza Rais Dk.John Magufuli kwa kufanikisha shughuli za Serikali kuhamia Dodoma ambapo wamekubaliana hakutakuwa na mtu mwingine yoyote anayeweza kuja kuiondoa Serikali na shughuli zake Dodoma.

Wakati Azimio la pili ambalo wabunge wamelipitisha linahusu kumpongezi kwa Spika wa Bunge Job Ndugai kutokana na mafanikio ambayo yamepatikana kwenye Bunge la...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wamkaanga Magufuli

Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli amekuwa hapati wakati mgumu anapowasilisha bajeti ya wizara hiyo, lakini hali ilikuwa tofauti jana wakati wabunge walipoungana kueleza hofu yao katika utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara kutokana na madeni ya makandarasi.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli kuteua wabunge punde

Rais John Magufuli anatarajiwa, wakati wowote kuanzia sasa, kuwateua baadhi ya watu wenye sifa kuwa wabunge ili aweze kuwapa majukumu ya kuongoza wizara atakapopanga safu ya Baraza la Mawaziri, hivi karibuni.

 

9 years ago

Mwananchi

Wabunge walilia ahadi za Dk Magufuli

Wabunge wateule wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wamesema wanatarajia Rais Mteule Dk John Magufuli atafanya mabadiliko kiutendaji, kuimarisha Muungano, huku wengi wakitarajia kutekelezwa kwa ahadi alizotoa wakati wa kampeni.

 

9 years ago

Habarileo

Wabunge wasifu hotuba ya Magufuli

WABUNGE wamesifu hotuba ya ufunguzi wa Bunge la 11 iliyotolewa bungeni jana na Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Hotuba hiyo ni ufunguzi rasmi wa Bunge la 11, ambapo mkutano wa kwanza wa bunge hilo ulianza Jumanne wiki hii mjini hapa.

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli awashika pabaya wabunge

RAIS*Azuia safari zao nje ya nchi, watakiwa wawe na vibali

*Baadhi yao wajikuta wakikwama Uwanja wa Ndege VIP

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

SIKU chache baada ya Rais Dk. John Magufuli kupiga marufuku safari za nje kwa watumishi wa Serikali bila kibali, safari hii kibao kimewagekia wabunge baada ya kuzuiwa kusafiri bila ruhusa maalumu, MTANZANIA imebaini.

Hali hiyo imeonekana kuwavuruga wabunge, kwani baadhi yao wamejikuta wakikwama katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, baada...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge Dar wajipanga kumkwamisha Magufuli

Mbunge wa Temeke, Abbas MtemvuMBUNGE wa Temeke, Abbas Mtemvu (CCM), amesema wabunge wa Dar es Salaam wanasubiri makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi ili waikwamishe, kutokana na kutotimiza ahadi ilizotoa kwa mkoa huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani