MAGUFULI AAHIDI NEEMA KWA WAVUVI, WACHIMBAJI WADOGOWADOGO MWANZA NA GEITA
Dk John Magufuli akihutubia nyomi la watu lililofurika katika Kijiji cha Nkome, Geita Vijijini. Magufuli akizuru makaburi ya babu yake Marko Nyahenga na bibi yake Anastazia yaliyopo kijiji cha Katoma, Geita Vijijini. Ibada fupi ya maombi ikifanyika kuwaombea marehemu…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMAGUFULI APIGWA NA BUTWAA NYOMI LA GEITA, AAHIDI KUSHUGHULIKIA MATATIZO YA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI
Mgombea Urais Huyo amewaambia wananchi wa Geita kuwa mara atakapoingia Ikulu, moja ya changamoto anazotarajiwa kuzipa kipaumbele ni pamoja na suala la kutatua mgogoro wa wachimbaji madini wadogo wadogo.
Magufuli ameasema...
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Magufuli ajitwisha mzigo wa wachimbaji wadogowadogo
9 years ago
GPLMAGUFULI AAHIDI NEEMA KWA WANABUKOBA
9 years ago
StarTV14 Sep
Dk. Magufuli aahidi kuwalinda wachimbaji wadogo
Mgombea Kiti cha Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli amesema serikali atakayoiongoza baada ya kuingia madarakani itawalinda wachimbaji wadogo wadogo waweze kulitaidia taifa katika kuinua uchumi wa Nchi.
Dokta Magufuli ambaye amemaliza ziara yake ya Kampeni mkoa wa Simiyu na kuianza ziara yake mkoa wa Tabora katika wilaya ya Igunga,anasema wachimbaji wadogo wakiwekewa utaratibu mzuri wana nafasi kubwa ya kuinua pato la taifa.
Mara baada ya kuwasili wilayani...
9 years ago
GPLMAGUFULI AAHIDI NEEMA SINGIDA, KESHO KUIANZA KONDOA
11 years ago
GPLKINANA AKUTANA NA WACHIMBAJI WADOGOWADOGO WA MADINI, MERERANI
11 years ago
Michuzi20 Jun
STAMICO YAAHIDI NEEMA KWA WACHIMBAJI WADOGO NCHINI
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Dk. Shein aahidi neema kwa wafanyabiashara
Na Esther Mbussi, Zanzibar
MGOMBEA urais wa Zanzibar, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohamed Shein amesema maendeleo kwa wafanyabiashara wadogo visiwani humo ni lazima.
Kutokana na hali hiyo, ameahidi kuwajengea eneo la maonyesho ya biashara ili kuwavutia wafanyabiashara wa nje.
Akizungumza katika viwanja vya Urafiki, Jimbo la Sahurimoyo mjini Unguja juzi, Dk. Shein alisema mradi huo licha ya kuwavutia wafanyabiashara, utawasaidia kutangaza biashara zao.
“Wafanyabiashara...
9 years ago
Habarileo15 Sep
Samia aahidi neema kwa walima korosho
ILANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa awamu ya tano ya Serikali, imejipanga kuweka bei nzuri na ya uhakika kwa wakulima wa korosho na ufuta nchini. Hayo yalisemwa mjini hapa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan.