MARA BAADA YA MUHONGO KUJIUZULU NA JK KUTEUA WAPYA, ZITTO ATOA YA MAYONI!

Hiki ndicho alichokiandika Mhe. Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Face Book mara baada ya Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter muhongo kutangaza kujiuzulu mapema leo. Na hiki ndicho alichokiandika mara baada ya uteuzi wa Mawaziri na manaibu Mawaziri…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo24 Jan
10 years ago
Vijimambo06 Nov
Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu Wakuu wanne wapya na kuhamisha mmoja.
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
BBCSwahili14 Mar
Papa Francis atoa ishara za kujiuzulu
10 years ago
Vijimambo
HOTUBA YA JK, PROF. TIBAIJUKA AOMBWA KUJIUZULU, PROF MUHONGO AWEKWA KIPORO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kwa Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ( Picha na Adam Mzee)


--Rais Kikwete ameanza kuongea na wazee wa Mkoa wa Dar katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Watanzania wanataraji atoe mwongozo kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na...
10 years ago
GPLZITTO AMTAKA WAZIRI NYALANDU KUJIUZULU AKISHINDWA KUTOA TANGAZO GAZETINI LEO JIONI
10 years ago
Mtanzania26 Jan
Zitto: Escrow ni zaidi ya Muhongo
Fredy Azzah na Nora Damian, Dar es Salaam
SIKU moja baada ya aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, kutangaza kujiuzulu kutokana na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 katika Akaunti ya Tegeta Escrow, Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema suala hilo bado ni bichi.
Pamoja na hali hiyo, PAC imesema hadi sasa Serikali imetekeleza maazimio manane ya Bunge kwa asilimia 35.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za...
10 years ago
Vijimambo
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Muhongo atoa agizo zito