HOTUBA YA JK, PROF. TIBAIJUKA AOMBWA KUJIUZULU, PROF MUHONGO AWEKWA KIPORO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kwa Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ( Picha na Adam Mzee)Ukumbi wa Diamond Jubilee ukiwa umefurika Wazee waliokuja kumsikiliza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Ukumbi ulifurika kila kona.
--Rais Kikwete ameanza kuongea na wazee wa Mkoa wa Dar katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Watanzania wanataraji atoe mwongozo kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMAAZIMIO MAPYA SAKATA LA ESCROW: MAMLAKA HUSIKA YASHAURIWA KUTENGUA UTEUZI WA PROF TIBAIJUKA, PROF MUHONGO, JAJI WEREMA NA MASWI
10 years ago
GPLPROF. TIBAIJUKA AKATAA KUJIUZULU
10 years ago
GPL19 Dec
10 years ago
MichuziSiwezi kujiuzulu kwa fedha ya Tegeta Escrow - Prof. Tibaijuka
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Makazi,Profesa Anna Tibajuka amesema kuwa hawezi kujiuzulu katika nafasi ya uwaziri kutokana fedha ya Tegeta ESCROW.
Akizungumza na Waandishi na Habari mapema leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Hoteli ya Hayyat Regency,Anna alisema kuwa udalali wake fedha hiyo ni kwa ajili ya wanafunzi katika shule za Taasisi ya Johansson Girls Education Trust.
Alisema fedha hiyo aliyoipata ni ni bil 1.66 ambazo zilitoka katika kampuni...
10 years ago
Dewji Blog22 Mar
Prof.Muhongo aombwa kugombea urais 2015 na umoja wa vyama vya wanafunzi elimu ya juu
Umoja wa Vyama vya wanafunzi elimu ya juu kutoka vyuo mbalimbali kanda ya kaskazini Kilimanjaro na Arusha wajitokeza kumshawishi Prof. Sospeter Muhongo kugombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mwaka 2015.(Picha na Jamiiblog).
Akizungumza kwa niaba ya vijana wenzake Mwenyekiti wa vijana Charles Ngereza kutoka chuo cha Uhasibu Arusha amesema kuwa kinachowafanya kumshawishi Prof Sospeter Muhongo kugombea urais ni kutokana na kuwa kiongozi bora kwa wananchi na mtu anayejali matatizo...
11 years ago
MichuziHOTUBA YA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. PROF. SOSPETER MWIJARUBI MUHONGO (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2014/15
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Prof. Tibaijuka atangaza bomoabomoa
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ametangaza kiama kwa wananchi waliojitwalia na kumiliki ardhi kinyume cha sheria. Tibaijuka alisema kuanzia wiki ijayo wataendesha operesheni kubwa...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
Prof. Tibaijuka kwanini usiwajibike?
NATAMANI kusikia Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka, akijiuzulu. Ajiuzulu kutokana na migogoro ya ardhi kushamili nchini na kushindwa kutenga...
11 years ago
Mwananchi19 Jan
Kumradhi Prof Anna Tibaijuka