Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prof. Tibaijuka kwanini usiwajibike?

NATAMANI kusikia Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka, akijiuzulu. Ajiuzulu kutokana na migogoro ya ardhi kushamili nchini na kushindwa kutenga...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA JK, PROF. TIBAIJUKA AOMBWA KUJIUZULU, PROF MUHONGO AWEKWA KIPORO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kwa Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ( Picha na Adam Mzee)Ukumbi wa Diamond Jubilee ukiwa umefurika Wazee waliokuja kumsikiliza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Ukumbi ulifurika kila kona.
--Rais Kikwete ameanza kuongea na wazee wa Mkoa wa Dar katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Watanzania wanataraji atoe mwongozo kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na...

 

10 years ago

GPL

MAAZIMIO MAPYA SAKATA LA ESCROW: MAMLAKA HUSIKA YASHAURIWA KUTENGUA UTEUZI WA PROF TIBAIJUKA, PROF MUHONGO, JAJI WEREMA NA MASWI

Waziri wa Madini na Nishati, Profesa Sospeter Muhongo. WABUNGE kwa pamoja wamekubaliana kuondoa maazimio 12 yaliyoletwa bungeni na Kamati ya PAC na kuleta maazimio mapya 8 ambayo yamekubaliwa. Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji Frederick Werema. Mojawapo ya maazimio hayo ni Mamlaka ya uteuzi kutakiwa iwawajibishe na kushauriwa kutengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Muhongo, Mwanasheria… ...

 

10 years ago

GPL

PROF. TIBAIJUKA AKATAA KUJIUZULU

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka, akiongea na wanahabari hivi punde ndani ya Hyatt Regency Hotel Dar es Salaam amesema haoni sababu ya kujiuzulu kutokana na sakata la akaunti ya Escrow. Aongeza kuwa watu wanaona suala la kujiuzulu kama fasheni ila yeye hayupo katika fasheni hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kumradhi Prof Anna Tibaijuka

Katika toleo la Alhamisi Januari 9, 2014 gazeti hili lilichapisha habari kuhusu matokeo ya ziara ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka katika Shamba la Mpunga la Kapunga, wilayani Mbarali mkoani Mbeya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Prof. Tibaijuka atangaza bomoabomoa

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ametangaza kiama kwa wananchi waliojitwalia na kumiliki ardhi kinyume cha sheria. Tibaijuka alisema kuanzia wiki ijayo wataendesha operesheni kubwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mloganzila wamkomalia Prof. Tibaijuka

WAKAZI wa Kwembe, Kisopwa na Mloganzila katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, wameandamana hadi Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakishinikiza kuonana na Waziri, Profesa Anna Tibaijuka,...

 

11 years ago

Mwananchi

Prof Tibaijuka asalimu amri Kigamboni

 >Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka juzi aliwekwa kitimoto na wabunge waliotishia kuondoa shilingi kukwamisha bajeti ya wizara yake kiasi cha kumlazimisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuingilia kati na kuokoa jahazi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Mloganzila wamkomalia Prof. Tibaijuka

WAKAZI wa Kwembe, Kisopwa na Mloganzila Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, wameandamana hadi Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakishinikiza kuonana na Waziri Profesa Anna Tibaijuka kudai...

 

11 years ago

Habarileo

Kazi ya kubomoa si ya kukurupuka-Prof Tibaijuka

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesema tayari imeweka mabango katika maeneo ya Sinza jijini Dar es Salaam kwenye viwanja vya wazi vilivyovamiwa. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka akizungumza na gazeti hili alisema mabango hayo yaliyowekwa ni kuwataka wakazi waliovamia viwanja vya wazi kuondoka mara moja. Profesa Tibaijuka alisema kuwa bomoabomoa itafanyika katika maeneo hayo hivyo ni vyema wanaojijua kuwa wamevamia wakaondoka mapema.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani