Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROF. TIBAIJUKA AKATAA KUJIUZULU

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka, akiongea na wanahabari hivi punde ndani ya Hyatt Regency Hotel Dar es Salaam amesema haoni sababu ya kujiuzulu kutokana na sakata la akaunti ya Escrow. Aongeza kuwa watu wanaona suala la kujiuzulu kama fasheni ila yeye hayupo katika fasheni hiyo.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA JK, PROF. TIBAIJUKA AOMBWA KUJIUZULU, PROF MUHONGO AWEKWA KIPORO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kwa Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ( Picha na Adam Mzee)Ukumbi wa Diamond Jubilee ukiwa umefurika Wazee waliokuja kumsikiliza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Ukumbi ulifurika kila kona.
--Rais Kikwete ameanza kuongea na wazee wa Mkoa wa Dar katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Watanzania wanataraji atoe mwongozo kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Michuzi

Siwezi kujiuzulu kwa fedha ya Tegeta Escrow - Prof. Tibaijuka

NA CHALILA KIBUDA WA GLOBU YA JAMII.

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Makazi,Profesa Anna Tibajuka amesema kuwa hawezi kujiuzulu katika nafasi  ya uwaziri kutokana fedha ya Tegeta ESCROW.
Akizungumza  na Waandishi na Habari mapema leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Hoteli ya Hayyat Regency,Anna alisema kuwa udalali wake fedha hiyo ni kwa ajili ya wanafunzi katika shule  za Taasisi ya  Johansson  Girls Education Trust.

Alisema fedha hiyo aliyoipata ni ni bil 1.66 ambazo zilitoka katika kampuni...

 

9 years ago

BBCSwahili

Razak akataa kujiuzulu

Waziri mkuu wa Malaysia , Najib Razak, amepinga wito wa kujiuzulu kwake kufuatia madai ya ufisadi

 

9 years ago

BBCSwahili

Blatter akataa kujiuzulu

Rais wa shirikisho la kandada duniani FIFA Sepp Blatter amekataa wito kutoka kwa baadhi ya wafadhili wa kumtaka ajiuzulu

 

10 years ago

GPL

MAAZIMIO MAPYA SAKATA LA ESCROW: MAMLAKA HUSIKA YASHAURIWA KUTENGUA UTEUZI WA PROF TIBAIJUKA, PROF MUHONGO, JAJI WEREMA NA MASWI

Waziri wa Madini na Nishati, Profesa Sospeter Muhongo. WABUNGE kwa pamoja wamekubaliana kuondoa maazimio 12 yaliyoletwa bungeni na Kamati ya PAC na kuleta maazimio mapya 8 ambayo yamekubaliwa. Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji Frederick Werema. Mojawapo ya maazimio hayo ni Mamlaka ya uteuzi kutakiwa iwawajibishe na kushauriwa kutengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Muhongo, Mwanasheria… ...

 

10 years ago

CloudsFM

TIBAIJUKA AGOMA KUJIUZULU

“Mimi Nijiuzulu kwa sababu gani? yaani kwa sababu ya mafanikio ya kuwakomboa wanawake kwenye Elimu ndio mimi nijuzulu,maana kujiuzulu kunasababu, na hakuna sababu ya mimi kufanya hivyo na sitofanya hivyo kwani wanaodai mimi nijiuzulu ni wanafiki wenye nia mbaya na mimi ,na mimi sijiuzulu ng’o na nikifanya wanavyotaka Rais atashangaa ”alisema Waziri Tibaijuka.
“Leo natuhumiwa na kila mtu kwamba nimepewa pesa na Rugimalira kwamba ni za kifisadi,Jamani tuwe wa kweli kuhusu madai haya maana...

 

10 years ago

Vijimambo

TIBAIJUKA ASEMA HAWEZI KUJIUZULU


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka akizungumza na waandishi wa habari kwenye hotel ya Hyatt Regency Dar Es Salaam, The Kilimanjaro  
.
Dar es Salaam,
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Profesa Anna Tibaijuka,amekutana na waandishi wa habari na kuzungumzia sakata la Akaunti ya Escrow,huku akisema haoni sababu ya yeye kujiuzulu kutokana na kudaiwa kuhusika katika sakata hilo.

 Alisema hawezi kufikia uamuzi wa kujiuzulu kwa kuwa hana kosa kwani...

 

10 years ago

GPL

PROFESA TIBAIJUKA: SINA SABABU YA KUJIUZULU

Waziri Tibaijuka akizungumza na wanahabari. Waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani