Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIBAIJUKA ASEMA HAWEZI KUJIUZULU


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka akizungumza na waandishi wa habari kwenye hotel ya Hyatt Regency Dar Es Salaam, The Kilimanjaro  
.
Dar es Salaam,
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Profesa Anna Tibaijuka,amekutana na waandishi wa habari na kuzungumzia sakata la Akaunti ya Escrow,huku akisema haoni sababu ya yeye kujiuzulu kutokana na kudaiwa kuhusika katika sakata hilo.

 Alisema hawezi kufikia uamuzi wa kujiuzulu kwa kuwa hana kosa kwani...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

TIBAIJUKA AGOMA KUJIUZULU

“Mimi Nijiuzulu kwa sababu gani? yaani kwa sababu ya mafanikio ya kuwakomboa wanawake kwenye Elimu ndio mimi nijuzulu,maana kujiuzulu kunasababu, na hakuna sababu ya mimi kufanya hivyo na sitofanya hivyo kwani wanaodai mimi nijiuzulu ni wanafiki wenye nia mbaya na mimi ,na mimi sijiuzulu ng’o na nikifanya wanavyotaka Rais atashangaa ”alisema Waziri Tibaijuka.
“Leo natuhumiwa na kila mtu kwamba nimepewa pesa na Rugimalira kwamba ni za kifisadi,Jamani tuwe wa kweli kuhusu madai haya maana...

 

10 years ago

GPL

PROF. TIBAIJUKA AKATAA KUJIUZULU

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka, akiongea na wanahabari hivi punde ndani ya Hyatt Regency Hotel Dar es Salaam amesema haoni sababu ya kujiuzulu kutokana na sakata la akaunti ya Escrow. Aongeza kuwa watu wanaona suala la kujiuzulu kama fasheni ila yeye hayupo katika fasheni hiyo.

 

10 years ago

GPL

PROFESA TIBAIJUKA: SINA SABABU YA KUJIUZULU

Waziri Tibaijuka akizungumza na wanahabari. Waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano…

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Michuzi

Siwezi kujiuzulu kwa fedha ya Tegeta Escrow - Prof. Tibaijuka

NA CHALILA KIBUDA WA GLOBU YA JAMII.

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Makazi,Profesa Anna Tibajuka amesema kuwa hawezi kujiuzulu katika nafasi  ya uwaziri kutokana fedha ya Tegeta ESCROW.
Akizungumza  na Waandishi na Habari mapema leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Hoteli ya Hayyat Regency,Anna alisema kuwa udalali wake fedha hiyo ni kwa ajili ya wanafunzi katika shule  za Taasisi ya  Johansson  Girls Education Trust.

Alisema fedha hiyo aliyoipata ni ni bil 1.66 ambazo zilitoka katika kampuni...

 

10 years ago

Vijimambo

SABABU ZA KWANINI TIBAIJUKA ALIKATAA KUJIUZULU HIZI HAPA JITIRIRIKIE MWENYEWE

WIKI moja Kupita Baada ya aliyekuwa Waziri wa Kazi,Nyumba na Mandeleo na Makazi Profesa Anna Tibaijuka kufukuzwa kazi kwenye nafasi hiyo,sasa Mengine mapya yaanza kufichuka kuhusu kufukuzwa kazi kwake,paparazi huru umeelezwa.

Taarifa Zinasema Prof Tibaijuka alifukuzwa kazi kutokana na ukosefu wa Maadili kama ambavyo Rais Jakaya Kikwete alivyodai,
Rais Kikwete alitangaza kumfukuza kazi Mbunge huyo wa Muleba Kusini (CCM)katika Mkutano wake wa Wazee wanaokaa mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika...

 

10 years ago

Habarileo

DC ajisalimisha, asema hawezi kugoma

MKUU wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, Mrisho Gambo amejisalimisha kwenye Baraza la Maadili kwa Viongozi wa Umma jana alfajiri jijini Dar es Salaam baada ya Polisi juzi kuamriwa kumkamata. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam mbele ya Baraza la Maadili kwa Watumishi wa Umma, lililokuwa limekaa kusikiliza mashauri mbalimbali ya viongozi wa umma yaliyowasilishwa na Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma, Gambo alisema taarifa za mwito huo hakuzipata.

 

10 years ago

GPL

NISHA ASEMA HAWEZI KUMRUDIA NAY WA MITEGO

Gladness Mallya
MWANADADA anayefanya vizuri kwenye tasnia ya filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka na kusema hawezi kumrudia aliyekuwa mpenzi wake, msanii Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. Salma Jabu ‘Nisha’. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki, Nisha alisema amelazimika kutoa ufafanuzi huo baada ya kuenea kwa uvumi kuwa ana mpango wa kurudiana naye, jambo alilosema...

 

10 years ago

BBCSwahili

FIFA:Blatter amekataa kujiuzulu asema Platini

Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter,amekataa kata kata kujiuzulu kwa mjibu wa rais wa UEFA Michel Platini

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani