Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NISHA ASEMA HAWEZI KUMRUDIA NAY WA MITEGO

Gladness Mallya
MWANADADA anayefanya vizuri kwenye tasnia ya filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka na kusema hawezi kumrudia aliyekuwa mpenzi wake, msanii Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. Salma Jabu ‘Nisha’. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki, Nisha alisema amelazimika kutoa ufafanuzi huo baada ya kuenea kwa uvumi kuwa ana mpango wa kurudiana naye, jambo alilosema...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Baada ya kununua Prado, Nay wa Mitego asema ‘kinachofuata ni Range Rover’

Nay wa Mitego amesema akimaliza ujenzi wa nyumba yake mpya ya kifahari iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam, atanunua gari aina ya Range Rover. Gari mpya ya Nay wa Mitego Nay ambaye amenunua gari mpya, Prado Land Cruiser hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa lengo lake ni kumiliki Range. “Bado sijapata gari ninayoihitaji, mpango wangu ni […]

 

10 years ago

Bongo5

Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’

Kwa mtu ambaye tayari ameiona video mpya ya Nay Wa Mitego, ‘Mr Nay’ huenda swali la kwanza ambalo atajiuliza mara baada ya kuitazama au akipata nafasi ya kukutana na Nay atamuuliza ni ‘hiyo concept ya video, zile damu damu na ‘mask’ za kutisha, minyororo na hizo sign zote zina maana gani?’ Mara nyingi au mara […]

 

10 years ago

Bongo5

Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya

Nay Wa Mitego ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania walioamua kwenda kufanya video nje mwaka huu, na hii ikiwa ni mara yake ya pili kufanyia video nchini Kenya. Hii ni video ya behind the scenes ya wakati wa utengenezaji wa video ya ‘Mr Nay’ iliyofanyika Nairobi, Kenya wiki chache zilizopita na kuongozwa na director Kevin […]

 

9 years ago

Bongo5

Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza

Chagga na Nay

Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?

Chagga na Nay

Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.

Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Bongo5

New video: Nay Wa Mitego — Mr Nay

Msanii Wa Hip Hop nchini, Nay Wa Mitego ameachia video yake mpya ‘Mr Nay’ iliyoongozwa na Kevin Bosco Jnr wa Decent Media nchini Kenya. Itazame

 

10 years ago

Bongo5

Video: Tazama teaser ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘ Mr Nay’ iliyofanyika Kenya

Hivi karibuni Nay Wa Mitego aka True Boy alikwenda Kenya kushoot video ya single yake mpya ‘Mr Nay’, na habari njema ni kuwa video tayari imekamilika. Lakini habari mbaya ni kwamba Nay amekupa sekunde 15 tu za kuona teaser kwa sasa kabla hajaachia rasmi video kamili. Video ya ‘Mr Nay’ imeongozwa na director Kevin Bosco […]

 

11 years ago

GPL

NISHA ADAIWA KUBEMBELEZA PENZI KWA NAY

Stori: MUSA MATEJA
STAA wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ anadaiwa kubembeleza penzi kwa staa wa muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Ijumaa lina full mchongo. Nay wa Mitego na Nisha katika pozi la kimahaba enzi za penzi lao. Mnyetishaji wetu alivujisha mawasiliano baina ya wawili hao waliowahi kuwa wapenzi kisha kumwagana ambapo yalionyesha kuwa Nisha analitamani upya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani