Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baada ya kununua Prado, Nay wa Mitego asema ‘kinachofuata ni Range Rover’

Nay wa Mitego amesema akimaliza ujenzi wa nyumba yake mpya ya kifahari iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam, atanunua gari aina ya Range Rover. Gari mpya ya Nay wa Mitego Nay ambaye amenunua gari mpya, Prado Land Cruiser hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa lengo lake ni kumiliki Range. “Bado sijapata gari ninayoihitaji, mpango wangu ni […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NISHA ASEMA HAWEZI KUMRUDIA NAY WA MITEGO

Gladness Mallya
MWANADADA anayefanya vizuri kwenye tasnia ya filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka na kusema hawezi kumrudia aliyekuwa mpenzi wake, msanii Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. Salma Jabu ‘Nisha’. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki, Nisha alisema amelazimika kutoa ufafanuzi huo baada ya kuenea kwa uvumi kuwa ana mpango wa kurudiana naye, jambo alilosema...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kutemana na Mumeo,Shamsa Atoka na Nay Wa Mitego!

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford ambae hivi majuzi aliweka wazi kuachana na mume wake ambae wamezaanae mtoto mmoja, imebainika kuwa kwasasa yupo kwenye mahusino ya kimapenzi na Staa wa Bongo Fleva, Nay Wamitego.

Hivi sasa wawili hao wanaonekana sehemu mablimbali wakiwa wapo close na kutupia mapicha mtandaoni kitu kinachompa presha mwadada Siwema ambae hivi majuzi alinyang’anywa mototo na Nay Wa Mitego na hiyo kuamua kurusha madogo mtandaoni.

Japo kuwa Nay wa Mitego yupo mstari...

 

10 years ago

CloudsFM

Baada ya kuachana na Nay Wa Mitego,mambo yamnyookea Siwema,aanika mkoko wake mpya.

Mambo yameanza kumnyookea mzazi mwenziye na msanii wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego,Siwema baada ya kuanika mkoko wake mpya mtandaoni.

Nay Wa Mitego na Siwema wapo kwenye mgogoro hadi kufikia hatua msanii huyo kumchukua mtoto wake ambaye hivi sasa analelewa na mama yake Nay. Kupitia mtandao wa Instagram Siwema aliwahi kulalamika kuwa Nay Wa Mitego alimrudisha nyuma kimaendeleo.

Baadhi ya maneno hayo yalisomeka hivi….leo unatangaza umeninunulia gari,unanipa kila kitu..nay nini umenipa?gari...

 

10 years ago

Bongo5

Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’

Kwa mtu ambaye tayari ameiona video mpya ya Nay Wa Mitego, ‘Mr Nay’ huenda swali la kwanza ambalo atajiuliza mara baada ya kuitazama au akipata nafasi ya kukutana na Nay atamuuliza ni ‘hiyo concept ya video, zile damu damu na ‘mask’ za kutisha, minyororo na hizo sign zote zina maana gani?’ Mara nyingi au mara […]

 

10 years ago

Bongo5

Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya

Nay Wa Mitego ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania walioamua kwenda kufanya video nje mwaka huu, na hii ikiwa ni mara yake ya pili kufanyia video nchini Kenya. Hii ni video ya behind the scenes ya wakati wa utengenezaji wa video ya ‘Mr Nay’ iliyofanyika Nairobi, Kenya wiki chache zilizopita na kuongozwa na director Kevin […]

 

10 years ago

Bongo5

Msimu wa Valentine’s: Jose Chameleone amzawadia mkewe Range Rover!

Jose Chameleone si mtu wa vitu vidogo. Sehemu ya maegesho ya magari kwenye nyumba yake inazidi kujaa baada ya kuamua kumzawadia mke wake gari aina ya Range Rover kama zawadi ya msimu wa Valentine’s. “Happiness can be described in a smile on your face. But can also be described by the happiness and smile on […]

 

9 years ago

Bongo5

Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza

Chagga na Nay

Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?

Chagga na Nay

Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.

Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...

 

10 years ago

GPL

11 years ago

Bongo5

Picha: Tajiri wa Saudi atikisa London na Range Rover ya dhahabu yenye plate number ‘666’

‘666’ inatambulika kwenye biblia kama namba ya shetani aka ‘The Number of the Beast’ au kwa Kigiriki ‘Arithmos tou Thēriou’ lakini kwa tajiri mmoja wa Saudi Arabia, herufi hizo zinazosomeka kama plate number ya gari yake ya kifahari aina ya Range Rover. Hata hivyo gari hiyo pia si ya kawaida kiasi cha wakazi wa London, […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani