Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Tajiri wa Saudi atikisa London na Range Rover ya dhahabu yenye plate number ‘666’

‘666’ inatambulika kwenye biblia kama namba ya shetani aka ‘The Number of the Beast’ au kwa Kigiriki ‘Arithmos tou Thēriou’ lakini kwa tajiri mmoja wa Saudi Arabia, herufi hizo zinazosomeka kama plate number ya gari yake ya kifahari aina ya Range Rover. Hata hivyo gari hiyo pia si ya kawaida kiasi cha wakazi wa London, […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Msimu wa Valentine’s: Jose Chameleone amzawadia mkewe Range Rover!

Jose Chameleone si mtu wa vitu vidogo. Sehemu ya maegesho ya magari kwenye nyumba yake inazidi kujaa baada ya kuamua kumzawadia mke wake gari aina ya Range Rover kama zawadi ya msimu wa Valentine’s. “Happiness can be described in a smile on your face. But can also be described by the happiness and smile on […]

 

9 years ago

Bongo5

Baada ya kununua Prado, Nay wa Mitego asema ‘kinachofuata ni Range Rover’

Nay wa Mitego amesema akimaliza ujenzi wa nyumba yake mpya ya kifahari iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam, atanunua gari aina ya Range Rover. Gari mpya ya Nay wa Mitego Nay ambaye amenunua gari mpya, Prado Land Cruiser hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa lengo lake ni kumiliki Range. “Bado sijapata gari ninayoihitaji, mpango wangu ni […]

 

10 years ago

Vijimambo

Baba Mjaluo akodisha limousine, Range Rover & Chrysler 300 kumchukua mwanae aliyezaliwa hospitali

Sasa ndio nimeelewa Wakenya wanamaanisha nini wanaposema Luo si kabila tu, bali:“being Luo is a lifestyle!”“Being Luo is a calling…”“Being Luo is an obligation…”Huko Kenya, huyu jamaa, Mr Otieno amekodisha magari matatu; Hummer Limousine, Range Rover, na Chrysler 300 kwenda hospitalini kumchukua mwanae kichanga aliyezaliwa; magari yote hayo yakiwa yamepachikwa sticker zenye jina la mtoto huyo: Tyler Cole Otieno. Jionee mwenyewe vitimbi hivyo katika picha Hpa chini kwenye read more.

 

10 years ago

Bongo5

Mtangazaji wa Times FM aporwa iPhone 6 ya dhahabu yenye thamani ya shilingi milioni 3.8

Mtangazaji wa kipindi cha The Switch cha Times FM, Cnda King ameporwa simu ya thamani kubwa ya iPhone 6 yenye dhahabu (24 karat gold plate). Cnda ambaye pia ataanza kuonekana kwenye kipindi kipya cha TV kiitwacho 10 Made in Africa, ameimbia Bongo5 kuwa simu hiyo iliporwa jana Jumapili (March 1) akiwa kwenye taa za traffic […]

 

11 years ago

Bongo5

Davido anunua saa ya dhahabu ‘Gold Rolex Sky-Dweller watch’ yenye thamani ya milioni 60

Msanii wa muziki kutoka Nigeria hit maker wa ‘Aye’, Davido ameamua kuzitumia ipasavyo pesa anazozikeshea na kuzitolea jasho. Davido ametumia kiasi cha zaidi ya milioni 60 kununua saa ya dhahabu aina ya ‘Gold Rolex Sky-Dweller’. Mkali huyo wa ‘Skelewu’ kupitia instagram ameandika: ‘Been working too hard lately so l decided to spoil myself’.

 

9 years ago

Michuzi

HAJA YA HOJA: NI LINI TAJIRI AKAPENDA MASKINI AKAWA TAJIRI KAMA YEYE

Ni jambo lilo wazi kuwa watu wote hawawezi kuwa sawa, hivyo watu wote hawawezi  kuwa matajiri. Hivyo kulipo na matajiri  wakubwa na  maskini nao ni wengi. Kwa sababu tajiri na maskini wanategemeana.  Utajiri hauwezi kuwepo bila kuwepo umaskini.Kwa mantiki hiyo ili tajiri awepo maskini lazima awepo na   maskini akiwepo  na tajiri atakuwepo, wote wanategemeana. Kanuni hii ni kwa watu na hata nchi.Ni kweli matajiri wanachukia umaskini  na maskini wenyewe wanatamani utajiri. Hivyo si rahisi kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Magari yenye picha za rais yakamatwa

Magari sita yakiwemo mawili yaliokuwa na picha ya Uhuru yalikamatwa,licha ya rais kuruhusu wamiliki wa matatu kuchora picha.

 

10 years ago

Vijimambo

Tazama picha ya mfalme wa Saudi Arabia aliyefariki akiwa na wake zake 30.

Je wajua kua aliyekua mfalme wa Saudi Arabia mfalme Abdullah bin Abdulaziz alikua na wake 30?? na watoto wa kiume 45, Basi jibu ni ndio na hawa ni baadhi ya wake zake aliopiga nao picha ya pamoja. Mfalme Abdullah bin Abdulaziz alifariki tarehe 22 mwezi huu na nafasi yake imerithiwa na aliyekua mdogo wake.

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mayweather anunua saa yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2

1214-floyd-mayweather-tmz-2

Floyd Mayweather amefanya yake tena.. Bondia huyo bingwa wa kuchezea hela, amenunua saa ya kifahari yenye thamani ya dola milioni 1.1 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 2.

1214-floyd-mayweather-tmz-2

Ameinunua saa hiyo kwenye safari yake ya Dubai.

Mwakilishi wake ameiambia TMZ: The watch is roughly $1.1 million. This is just one of his big purchases.”

Saa hiyo ni ya chapa ya Hublot ambayo imezungushiwa almasi.

1214-subasset-floyd-mayweather-tmz-2

Inasemekana kuwa Floyd ametumia zaidi ya dola milioni 1.5 katika siku mbili alizokaa Dubai.

Hii ni mara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani