Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tazama picha ya mfalme wa Saudi Arabia aliyefariki akiwa na wake zake 30.

Je wajua kua aliyekua mfalme wa Saudi Arabia mfalme Abdullah bin Abdulaziz alikua na wake 30?? na watoto wa kiume 45, Basi jibu ni ndio na hawa ni baadhi ya wake zake aliopiga nao picha ya pamoja. Mfalme Abdullah bin Abdulaziz alifariki tarehe 22 mwezi huu na nafasi yake imerithiwa na aliyekua mdogo wake.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Buriani kwa mfalme wa Saudi Arabia

Mazishi ya mfalme wa Saudi Arabia Abdulla ambaye aliaga dunia hii leo yamefanyika katika mji mkuu wa Saudi Arabia,Riyadh

 

10 years ago

Mtanzania

Mfalme wa Saudi Arabia afariki dunia

RIYADH, Saudi Arabia
MFALME wa Saudi Arabia, Abdullah bin Abdul-Aziz Al Saud (90), amefariki dunia jana na cheo chake kurithiwa mara moja na mdogo wake, Salman (79).
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la DW, Ofisi ya Kifalme haijataja sababu ya kifo cha Mfalme Abdullah, lakini habari zaidi zinadai kuwa kiongozi huyo alilazwa hospitali tangu Desemba mwaka jana kutokana na kusumbuliwa na homa ya mapafu ambapo kwa muda wote tangu akiwa hospitali alipumua kwa msaada wa mashine.
Mfalme Abdullah bin...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete ahani msiba wa Mfalme Saudi Arabia

RAIS Jakaya Kikwete amehani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud wa Saudi Arabia, aliyefariki Alhamisi na kuzikwa Ijumaa ya wiki iliyopita.

 

10 years ago

Mwananchi

Mfalme amekufa, wapi inaelekea Saudi Arabia?

Wasiwasi ni je, kiongozi atakayechukua madaraka ataweza kumudu kuhimili vishindo vya siasa za kimataifa kama yeye?

 

10 years ago

Vijimambo

Obama akutana na mfalme mpya wa Saudi Arabia

Rais Obama akizungumza na mfalme mpya wa Saudia, Salman bin Abdul Aziz huko Riyadh, Jan 27,2015Rais Obama na mkewe Michelle wakiwa na mfalme Salman huko Riyadh
Rais wa Marekani, Barack Obama alisafiri kwenda Saudi Arabia jumanne kutoa heshima zake kufuatia kifo cha wiki iliyopita cha mfalme Abdullah wa nchi hiyo aliyekuwa na umri wa miaka 90.

Bwana Obama alisimama muda mfupi katika mji mkuu Riyadh, huku akiongoza ujumbe wa watu 30 ambao ulijumuisha maafisa na wabunge pamoja na maafisa...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete awasili Saudi Arabia kuhani msiba wa Mfalme

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Ndege wan Kijeshi mjini Riyadh, Saudi Arabia, asubuhi ya Jumapili, Januari 25, kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud aliyefariki Alhamisi na kuzikwa Ijumaa ya wiki iliyopita.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili mjini Riyadh, Saudi Arabia,asubuhi ya Jumapili, Januari 25, 2015, kuhani kifo cha Mfalme...

 

9 years ago

Vijimambo

JK ATUMA SALAMU ZA RAMBIMBI KWA MFALME SALMAN BIN ABDULAZIZ AL SAUD WA SAUDI ARABIA

King of Saudi Arabia, H.H. Salmanbin Abdulaziz Al Saud PRESS RELEASE 
H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a sympathy and condolences massage to H.R. H. Salman bin Abdulaziz Al Saud, King of the Kingdom Saudi Arabia on great sadness the death of 107 pilgrims and more than 200 others injured due to collapse of construction crane at the Holy Mosque in Makka, Saudi Arabia on 11th September 2015.
The massage reads as follows:
“His Royal Highness Salman...

 

10 years ago

Michuzi

JK AOMBOLEZA KIFO CHA Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud wa saudi Arabia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameituma Saudi Arabia salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha
Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud (90) ambaye alifariki jana, Alhamisi, Januari 22, 2015, na kuzikwa leo, Ijumaa, Januari 23, 2015 mjini Riyadh.

Katika salamu zake kwa Mfalme mpya, Mfalme Salman bin Abdul Aziz al Saud, Rais Kikwete amesema kuwa anaungana na wananchi wa Saudi Arabia na dunia nzima kuomboleza kifo cha kiongozi aliyetoa mchango mkubwa...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA MFALME WA SAUDI ARABIA, AWASILI BERLIN, UJERUMANI, KWA ZIARA YA KIKAZI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa mkono wa pole kwa watawala na familia mjini Riyadh, Saudi Arabia Jumapili, Januari 25, 2015, alipofika kuhani kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud aliyefariki Alhamisi na kuzikwa Ijumaa ya wiki iliyopita. Baada ya kuhani msiba wa Mfalme Abdullah, Rais Kikwete ameendelea na safariyake kwenda nchi za Ujerumani na Ufaransa kwa ziara za kikazi.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi Fawzia Rasheed, Mkuu wa Sera wa Global Alliance for...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani