Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magari yenye picha za rais yakamatwa

Magari sita yakiwemo mawili yaliokuwa na picha ya Uhuru yalikamatwa,licha ya rais kuruhusu wamiliki wa matatu kuchora picha.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAGARI YALIYOCHORWA PICHA YA RAIS YA YAKAMATWA


Gari la kubeba abiria lililochorwa picha ya rais Uhuru Kenyatta


Licha ya rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kuruhusu magari yanayobeba abiria nchini Kenya kuchorwa ama hata kupaka rangi yoyote ile,mabasi mawili yaliochorwa picha yake yamekamatwa na maafisa wa polisi mjini Mombasa Kenya.
Maafisa wa trafiki mjini Mombasa waliyakagua magari hayo na kuyakamata magari yote yaliokuwa yamechorwa picha pamoja na magari yenye madirisha yasioonyesha ndani.
Magari sita yakiwemo mawili yaliokuwa na picha ya...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Mayweather aringishia magari yenye thamani tshs bilioni 13 na private jet

Floyd Mayweather hakujipa jina la utani ‘Money’ kwa kubahatisha. Bondia huyo ambaye kwa mujibu wa Forbes ndiye mwanamichezo aliyeingiza fedha nyingi zaidi mwaka jana duniani, amepost picha Instagram akiwa amesimama mbele ya magari yake ya kifahari ambayo kwa pamoja yana thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 13.1 na ndege yake binafsi. “Welcome to my toy […]

 

11 years ago

Michuzi

MAJANGILI 6 YAKAMATWA NA MENO YA TEMBO 53 YENYE JUMLA YA KILO 169.7

DSCF3201Waziri wa maliasili na utalii Mh.Lazaro Nyalandu akizungumza na wanahabari wa vyombo mbalimbali vya habari jijini Arusha juu ya kukamatwa kwa meno 53 ya tembo yenye jumla ya kilo 169.7 na majangili sita DSCF3202Meneja Uhusiano wa Tanapa,Pascal Sheluteteakifurahia jambo na wanahabari jijini Arusha DSCF3199 DSCF3198Wanahabari wa vyombo mbalimbali wakifatilia jambo kutoka kwa Waziri wa maliasili na utalii
Na Pamela Mollel,Arusha Wizara ya maliasili na utalii imetangaza kukamatwa kwa meno 53 ya tembo yenye jumla ya...

 

9 years ago

GPL

MAGARI YALIYOIBIWA LONDON YAKAMATWA UGANDA

Njia ambayo magari hayo ya wizi yalisafirishwa toka London, Uingereza hadi Kampala, Uganda. Gari aina ya Audi TT iliyosajiriwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Lexus lilokuwa limeibiwa Londoni na kupelekwa Kampala, Uganda.…

 

9 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ZA RAIS KIKWETE ALIVYOKABIDHI MAGARI POLISI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu alipowasili Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 tayari kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi.  Wimbo wa Taifa katika sherehe za kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi. Wimbo wa Taifa katika sherehe za kukabidhi magari 399 kati ya 777...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magari 68 yenye majina binafsi yasajiliwa TRA

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesajili magari yenye majina binafsi 68, ambayo yameipatia serikali sh milioni 340. Kaimu Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi, Yeremia Mbaghi, alisema hayo hivi...

 

11 years ago

Mwananchi

Toyota yajipanga kupokea magari yenye hitilafu

>Kampuni ya Toyota Tanzania inatarajia kutoa tangazo ili kufafanua juu ya urejeshwaji magari yaliyobainika kuwa na kasoro za kiufundi.

 

5 years ago

Michuzi

JIJI LA DODOMA LAKABIDHI MAGARI YENYE THAMANI YA SH MILIONI 345 KWA WATAALAMU WAKE WA MIPANGO MIJI

Charles James, Globu ya Jamii
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma limekabidhi magari matatu kwa Idara ya Mipango Miji kwa ajili ya kurahisisha shughuli za wataalamu wake katika kudhibiti ujenzi holela kwenye jiji hilo.
Hayo yamefanyika ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa la kusimamia utekelezaji wa mpango kabambe wa Jiji la Dodoma.
Akizungumza wakati wa kukabidhi magari hayo, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema magari hayo yamegharimu kiasi cha Sh...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani