PICHA ZINGINE ZA RAIS KIKWETE ALIVYOKABIDHI MAGARI POLISI
![](http://2.bp.blogspot.com/-SmMY1ZsN6M0/ViaCK2AQwKI/AAAAAAAIBRY/rwV0gvwpUp8/s72-c/IMGL1310.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu alipowasili Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 tayari kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Wimbo wa Taifa katika sherehe za kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Wimbo wa Taifa katika sherehe za kukabidhi magari 399 kati ya 777...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-TOZFVB-WOm0/VWSmka32h0I/AAAAAAAAd9w/L5NcXHBSxdk/s72-c/16.jpg)
PICHA ZINGINE RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA NNE WA MABALOZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-TOZFVB-WOm0/VWSmka32h0I/AAAAAAAAd9w/L5NcXHBSxdk/s640/16.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0t_yBDiVvNc/VWSmdn6ZIjI/AAAAAAAAd9A/V-K83WHjZpg/s640/1.jpg)
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Rais Kikwete alikabidhi Jeshi la Polisi magari mapya 399 kati ya 777 yaliyoagizwa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe, IGP Ernest Mangu wakati akikagua sehemu ya magari mapya 399 kati ya 777 aliyokabidhi kwa jeshi la polisi leo Jumanne Oktoba 20, 2015 huko katika Chuo cha Polisi Kurasini Dar es salaam. (PICHA NA IKULU).
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ann-lp8tGEn1zlOSgxpChpu2*XMdHOV2UDy8DVs*48RRW5gd0x5dKo2BWaYxnHqN15yt0fZsCEWVqb117-yMTGzyeapuykhh/p3.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE ALIKABIDHI JESHI LA POLISI MAGARI MAPYA 399 KATI YA 777 YALIYOAGIZWA
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
Hizi tuzo zingine kwa Rais Kikwete hapana
HABARI iliyosambazwa kwa vyombo vya habari ni kwamba Rais Jakaya Kikwete amepewa tuzo nyingine ya The Icon of Democracy. Ni icon au agony of democracy? Ajabu! Pamoja na wahusika kujisifu, ukichunguza sana unagundua kuwa...
10 years ago
BBCSwahili08 Jan
Magari yenye picha za rais yakamatwa
10 years ago
Vijimambo09 Jan
MAGARI YALIYOCHORWA PICHA YA RAIS YA YAKAMATWA
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/08/150108153142_matatu_uhuru_640x360_bbc.jpg)
Licha ya rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kuruhusu magari yanayobeba abiria nchini Kenya kuchorwa ama hata kupaka rangi yoyote ile,mabasi mawili yaliochorwa picha yake yamekamatwa na maafisa wa polisi mjini Mombasa Kenya.
Maafisa wa trafiki mjini Mombasa waliyakagua magari hayo na kuyakamata magari yote yaliokuwa yamechorwa picha pamoja na magari yenye madirisha yasioonyesha ndani.
Magari sita yakiwemo mawili yaliokuwa na picha ya...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/vmrFlUpmAu4/default.jpg)
SIMU TV: Rais Kikwete Azindua Jengo la Kuhifadhia Madawa la Hospitali ya CCBRT jijini Dar es salaam, na habari zingine
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aonya wasimamizi wa uchaguzi mkoani humo kuzingatia na kufuata sheria katika zoezi la kupiga kura kuepusha vurugu.https://youtu.be/E4PqPs6h9uY
Mgombea uraisi wa Zanzibar Dr.Shein aahidi kupandisha bei ya zao la karafuu endapo atachaguliwa ili kuinua kipato cha wakulima. https://youtu.be/hlUp7Y0XU1c
Mgombea mwenza wa uraisi aahidi kutatua na kuondoa migogoro ya ardhi mkoani Simiyu kufuatia kukithiri kwa migogoro mkoani humo. https://youtu.be/AA3y7T9r0kk
Raisi...
10 years ago
VijimamboPICHA ZINGINE ZA FIESTA