Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGARI YALIYOCHORWA PICHA YA RAIS YA YAKAMATWA


Gari la kubeba abiria lililochorwa picha ya rais Uhuru Kenyatta


Licha ya rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kuruhusu magari yanayobeba abiria nchini Kenya kuchorwa ama hata kupaka rangi yoyote ile,mabasi mawili yaliochorwa picha yake yamekamatwa na maafisa wa polisi mjini Mombasa Kenya.
Maafisa wa trafiki mjini Mombasa waliyakagua magari hayo na kuyakamata magari yote yaliokuwa yamechorwa picha pamoja na magari yenye madirisha yasioonyesha ndani.
Magari sita yakiwemo mawili yaliokuwa na picha ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Magari yenye picha za rais yakamatwa

Magari sita yakiwemo mawili yaliokuwa na picha ya Uhuru yalikamatwa,licha ya rais kuruhusu wamiliki wa matatu kuchora picha.

 

9 years ago

GPL

MAGARI YALIYOIBIWA LONDON YAKAMATWA UGANDA

Njia ambayo magari hayo ya wizi yalisafirishwa toka London, Uingereza hadi Kampala, Uganda. Gari aina ya Audi TT iliyosajiriwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Lexus lilokuwa limeibiwa Londoni na kupelekwa Kampala, Uganda.…

 

9 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ZA RAIS KIKWETE ALIVYOKABIDHI MAGARI POLISI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu alipowasili Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 tayari kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi.  Wimbo wa Taifa katika sherehe za kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa  jeshi la polisi. Wimbo wa Taifa katika sherehe za kukabidhi magari 399 kati ya 777...

 

9 years ago

BBCSwahili

Apiga picha katikati ya mbio za magari

Kijana raia wa Uingereza ambaye aliingia katika njia ya magari yakiwa kasi Mahakama ya Singapore imemtupa jela wiki sita jela.

 

10 years ago

Bongo5

Dar ni foleni kali ya magari, mgomo wa madereva wa daladala na mvua (Picha)

Wakazi wa Dar es Salaam leo wamekiona cha mtema kuni baada ya kero zaidi ya tatu kuunganika na kuleta usumbufu mkubwa. Mgomo wa madereva wa magari abiria, umewafanya wananchi wengi ama kutumia gharama zaidi ya kufikia maeneo waliyokuwa wakienda kwa kutumia bodaboda na bajaj au kutembea kwa maguu. Kumeshuhudiwa misululu mikubwa barabarani ya wakazi wa […]

 

9 years ago

MillardAyo

Sema Ghana wametisha sana na hii kampuni inayotengeneza magari.. ( picha 14 )

Pamoja na hizi picha zaidi ya kumi kwenye hii post, inabidi ufahamu haya mambo matatu ya hii kampuni ya raia wa Ghana ambayo imeanza kupata mapokezi mazuri kwenye biashara ambayo ni mpya kwenye bara la Afrika, nchi ya Afrika inayounda magari. Kampuni inaitwa Kantanka Group na mpaka sasa wanaweza kutengeneza magari mapya mia moja kila […]

The post Sema Ghana wametisha sana na hii kampuni inayotengeneza magari.. ( picha 14 ) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Lewis Hamilton anyakua ubingwa wa dunia wa mbio za magari za Formula One

Dereva wa Uingereza, Lewis Hamilton ameibuka mshindi wa mbio za magari wa dunia, Formula One – Abu Dhabi Grand Prix. Hamilton akishangilia ushindi “Hii ni siku kubwa zaidi katika maisha yangu,” alisema dereva huyo mwenye miaka 29 aliyeendesha gari ya Mercedes Benz. Huo ni ushindi wa mara ya pili wa taji hilo baada ya mwaka […]

 

9 years ago

Vijimambo

PICHA: JUST PICHA: MWANA DIASPORA NA MBIO ZA UBUNGE: WANAMWITA RAIS WA MBARALI

Ni Liberatus Mwang'ombe "Libe" aliye wahi kuishi Maryland, DC na Virginia (DMV) amekuwa akivunja rekodi kwenye historia za mbio za ubunge jimbo la Mbarali kwa kukusanya vijana na watu wa rika mbalimbali wengi kuliko ilivyo wahi tokea jimboni Mbarali. 


 Juu na chini: Libe katika ubora wake

 Juu na chini: George Tito aka Mbu Mwenyekiti BAVICHA mkoa wa Mbeya akimnadi Mh. Mwang'ombe




 Mh. Mwang'ombe akikabidhi kadi ya CHADEMA barabarani 
Mh. Mwang'ombe amekuwa akisimamishwa barabarani watu wakitaka...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Mayweather aringishia magari yenye thamani tshs bilioni 13 na private jet

Floyd Mayweather hakujipa jina la utani ‘Money’ kwa kubahatisha. Bondia huyo ambaye kwa mujibu wa Forbes ndiye mwanamichezo aliyeingiza fedha nyingi zaidi mwaka jana duniani, amepost picha Instagram akiwa amesimama mbele ya magari yake ya kifahari ambayo kwa pamoja yana thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 13.1 na ndege yake binafsi. “Welcome to my toy […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani