Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JIJI LA DODOMA LAKABIDHI MAGARI YENYE THAMANI YA SH MILIONI 345 KWA WATAALAMU WAKE WA MIPANGO MIJI

Charles James, Globu ya Jamii
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma limekabidhi magari matatu kwa Idara ya Mipango Miji kwa ajili ya kurahisisha shughuli za wataalamu wake katika kudhibiti ujenzi holela kwenye jiji hilo.
Hayo yamefanyika ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa la kusimamia utekelezaji wa mpango kabambe wa Jiji la Dodoma.
Akizungumza wakati wa kukabidhi magari hayo, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema magari hayo yamegharimu kiasi cha Sh...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Benki ya I & M yachangia Matenki maalumu kwa Wizara ya afya yenye thamani ya Sh10 milioni

Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya I&M, Bw. Baseer Mohammed (wa pili kulia) akizungumza mbele ya Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Abel Makubi wakati akikabidhi msaada wa matanki maalum ya kuoshea mikono (handwashing tanks) pampja na sabuni zake kwa Wizara ya Afya vyenye thamani ya Sh10 milioni. Wakisikiliza kulia ni Mkuu wa Idara ya Wateja wa rejareja wa Benki ya I&M, Bi Lilian Mtali na kushoto Bi Angelina Ngalula Mwenyekiti TPSF.Mkuu wa Idara ya wateja wa rejareja wa benki ya I&M, Lilian Mtali...

 

11 years ago

GPL

MANISPAA YA KINONDONI YANUNUA MAGARI MAPYA 10 YENYE THAMANI YA MIL 779 KWA KUTUMIA VYANZO VYA MAPATO YA NDANI‏

Magari mapya aina ya Toyota yakiwa Manispaa ya Kinondoni mara baada ya kukabidhiwa hapo jana. Mwonekano wa moja ya gari mpya zilizonunuliwa na Manispaa ya Kinondoni.…

 

10 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA), YATOA MSAADA WA MADAWATI YENYE THAMANI YA SH.MILIONI 10 KWA SHULE YA MSINGI YOMBO

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleimkan Said Suleiman (katikati), akizungumza katika hafla ya kukabidhi madawati hayo. Kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Yombo, Christina Kasyupa na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Shule hiyo,Eva Mbena.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleimkan Said Suleiman (katikati), akipeana mkono na dada mkuu wa shule hiyo, Celina Dismas baada ya kukabidhi madawati hayo. Kulia ni Mwalimu...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Mayweather aringishia magari yenye thamani tshs bilioni 13 na private jet

Floyd Mayweather hakujipa jina la utani ‘Money’ kwa kubahatisha. Bondia huyo ambaye kwa mujibu wa Forbes ndiye mwanamichezo aliyeingiza fedha nyingi zaidi mwaka jana duniani, amepost picha Instagram akiwa amesimama mbele ya magari yake ya kifahari ambayo kwa pamoja yana thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 13.1 na ndege yake binafsi. “Welcome to my toy […]

 

10 years ago

Michuzi

MWENGE KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA SH. MILIONI 1.2 MUFINDI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 15 JUMLA ya miradi 13 yenye thamani ya Zaidi ya shilingi milioni 1.2 inatarajiwa kuzinduliwa pamoja na kuwekwa mawe ya msingi na Mwenge wa uhuru utakapokimbizwa katika Halmashauri ya wilaya ya Mufindi mapema alhamisi ya tarehe 25 mwezi huu.
Taarifa ya Ofisi ya habari na mawasiliano ya halmashauri ya Mufindi kwa vyombo vya habari imefafanua kuwa, vyanzo vya fedha zilizotumika kukamilisha miradi hiyo  vimegawanyika katika sehemu kuu nne, ambapo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwenge wa Uhuru wazindua magari mapya ya kampuni ya Green Waste Pro Ltd yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.6

Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge Kitaifa, Bw. Juma Khatibu Chum akiwa ameshika Mwenge baada ya kufika mtaa wa Kisutu jijini Dar kwenye uzinduzi wa magari mapya ya kuzoa taka katika manispaa ya Ilala yanayomilikiwa na kampuni ya Green WastePro ltd.(Picha zote na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza jambo mara baada ya Mwenge wa Uhuru kufika eneo la Kisutu jijini Dar kwa ajili ya ufunguzi wa Magari ya kisasa ya kuzoa taka.

  Kiongozi wa mbio za...

 

10 years ago

Bongo5

Mtangazaji wa Times FM aporwa iPhone 6 ya dhahabu yenye thamani ya shilingi milioni 3.8

Mtangazaji wa kipindi cha The Switch cha Times FM, Cnda King ameporwa simu ya thamani kubwa ya iPhone 6 yenye dhahabu (24 karat gold plate). Cnda ambaye pia ataanza kuonekana kwenye kipindi kipya cha TV kiitwacho 10 Made in Africa, ameimbia Bongo5 kuwa simu hiyo iliporwa jana Jumapili (March 1) akiwa kwenye taa za traffic […]

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI LUVUYO NA MBUNGE WAJENGA BARABARA YENYE THAMANI YA TSH MILIONI 52

Wananchi wa  kijiji  cha Luvuyo kata ya Madope  wakimpokea  mbunge wao Deo Filikunjombe kwa maandamano Wanachama  wa  chama  cha mapinduzi (CCM)   pamoja na  wananchi wa  kijiji cha Luvuyo kata ya Madope  wakishirikiana jana na mbunge  wao Deo Filikunjombe  (kushoto) kuchimba mifereji ya  maji katika barabara ya Luvuyo - Njombe  yenye urefu wa Kilomita 6 ambayo inajengwa kwa  ufadhili wa mbunge huyo kwa kiasi cha zaidi ya Tsh milioni 50Wananchi wa  Luvuyo wakimsikiliza  mbunge  wao Deo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani