Mwenge wa Uhuru wazindua magari mapya ya kampuni ya Green Waste Pro Ltd yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.6
Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge Kitaifa, Bw. Juma Khatibu Chum akiwa ameshika Mwenge baada ya kufika mtaa wa Kisutu jijini Dar kwenye uzinduzi wa magari mapya ya kuzoa taka katika manispaa ya Ilala yanayomilikiwa na kampuni ya Green WastePro ltd.(Picha zote na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza jambo mara baada ya Mwenge wa Uhuru kufika eneo la Kisutu jijini Dar kwa ajili ya ufunguzi wa Magari ya kisasa ya kuzoa taka.
Kiongozi wa mbio za...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMWENGE WA UHURU WAZINDUA MAGARI YA UKUSANYAJI TAKA YA KAMPUNI YA GREEN WASTE PRO LTD YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.6
10 years ago
GPLMWENGE WA UHURU WAZINDUA MAGARI YA UKUSANYAJI TAKA YA KAMPUNI YA GREEN WASTE PRO LTD YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.6
11 years ago
Dewji Blog30 Jun
Kampuni ya Green Waste Pro Ltd yaadhimisha sherehe ya kutimiza miaka miwili katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa
Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd Ndg. Mark Anthony Shayo akizungumza jambo kwenye sherehe ya kutimiza miaka miwili kwa kampuni hii ya kufanya usafi katika jiji la Dar es salaam hususani kwenye manispaa ya Ilala.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kheri Kessy akizungumza jambo kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka miwili ya Kampuni ya Green WastePro Ltd kwenye ukumbi wa makumbusho siku ijumaa tarehe 27, 2014.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kheri Kessy akizungumza jambo kwenye...
9 years ago
Bongo515 Dec
Picha: Mayweather anunua saa yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2
![1214-floyd-mayweather-tmz-2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/1214-floyd-mayweather-tmz-2-300x194.jpg)
Floyd Mayweather amefanya yake tena.. Bondia huyo bingwa wa kuchezea hela, amenunua saa ya kifahari yenye thamani ya dola milioni 1.1 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 2.
Ameinunua saa hiyo kwenye safari yake ya Dubai.
Mwakilishi wake ameiambia TMZ: The watch is roughly $1.1 million. This is just one of his big purchases.”
Saa hiyo ni ya chapa ya Hublot ambayo imezungushiwa almasi.
Inasemekana kuwa Floyd ametumia zaidi ya dola milioni 1.5 katika siku mbili alizokaa Dubai.
Hii ni mara ya...
10 years ago
Dewji Blog15 Jun
Zaidi ya miradi 50 yenye thamani ya Sh. 10.3 Bil. kupitiwa na Mwenge wa uhuru mkoani Morogoro
Na Andrew Chimesela – Morogoro
Mkoa wa Morogoro unatarijia kupokea Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoa wa Tanga Juni 15, 2015 ambao utakaopitia miradi ya Maendeleo 51 yenye thamani ya Shilingi 10,367,768,943 za kitanzania.
Ukiwa Mkoani Morogoro, Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika Halmashauri zote saba za Mkoa huo ambazo ni Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero itakayopokea Mwenge kutoka Wilaya ya Kilindi, Halmashauri ya Wilaya ya Gairo na Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
Halmashauri nyingine ni...
10 years ago
Bongo506 Jan
Picha: Mayweather aringishia magari yenye thamani tshs bilioni 13 na private jet
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-A7xxFgzL_7o/UzwqDtYJpKI/AAAAAAAAMBg/Wn9yl9jtFUk/s1600/MAN2.jpg)
MANISPAA YA KINONDONI YANUNUA MAGARI MAPYA 10 YENYE THAMANI YA MIL 779 KWA KUTUMIA VYANZO VYA MAPATO YA NDANI
10 years ago
Dewji Blog19 Mar
Mradi wa Mwanamke Mwezeshe wa WAMA wakopesha wanachama wa vikundi vya Hisa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.9
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete.
Na Anna Nkinda – Maelezo , Nachingwea
Jumla ya mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.9 zimetolewa kwa wanachama wa vikundi vya kukopa na kuweka akiba vilivyopo chini ya mradi wa Mwanamke Mwezeshe unaosimamiwa na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA).
Hayo yamesemwa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe za kuadhimisha mwaka mmoja wa kuanzishwa kwa vikundi vya mradi wa Mwanamke...