Baada ya kuachana na Nay Wa Mitego,mambo yamnyookea Siwema,aanika mkoko wake mpya.
Mambo yameanza kumnyookea mzazi mwenziye na msanii wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego,Siwema baada ya kuanika mkoko wake mpya mtandaoni.
Nay Wa Mitego na Siwema wapo kwenye mgogoro hadi kufikia hatua msanii huyo kumchukua mtoto wake ambaye hivi sasa analelewa na mama yake Nay. Kupitia mtandao wa Instagram Siwema aliwahi kulalamika kuwa Nay Wa Mitego alimrudisha nyuma kimaendeleo.
Baadhi ya maneno hayo yalisomeka hivi….leo unatangaza umeninunulia gari,unanipa kila kitu..nay nini umenipa?gari...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo502 Oct
Picha: Siwema wa Nay wa Mitego aanza maisha na mpenzi mpya
Mpenzi wa zamani wa Nay wa Mitego, Siwema aka ‘Mama Curtis’ ameonekana akila bata na mwanaume anayedaiwa kuwa ndiye mpenzi wake mpya baada ya kuachana na rapper huyo. Mpenzi huyo wa Siwema anayetambulika kwa jina la John, alipost picha akiwa pamoja na Siwena na kuandika; Mama curtis kanuna.” Baada ya kauli hiyo followers wake walimuomba […]
10 years ago
GPLSIWEMA WA NAY WA MITEGO KORTINI
Musa mateja MAJANGA yamezidi kumkuta mzazi mwenzake na Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson ambapo jana alitarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, kujibu shitaka la kujipatia mali kwa njia vitisho. Mzazi mwenzake na Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson. Siwema anatuhumiwa kujipatia mali kwa kumtishia kigogo mmoja...
10 years ago
GPLSIWEMA AMWANGUKIA NAY WA MITEGO!
Musa Mateja Mwisho wa jeuri? Mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson anadaiwa kumwangukia mwanamuziki huyo ili warudiane walee mtoto wao. Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ Habari kutoka chanzo cha kuaminika ambacho ni ndugu wa Siwema kilieleza kuwa, pamoja na maneno ya shombo aliyommwagia Nay wakati wanaachana, mrembo huyo kwa sasa ameweka silaha chini...
10 years ago
CloudsFM31 Oct
NAY WA MITEGO,SIWEMA WAPATA MTOTO WA KIUME
STAA wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego na mpenzi wake aitwaye Siwema wamepata mtoto wa kiune hivi karibuni.
Kupitia mtandao wa Instagram Nay aliandika hivi...Ooooooh my goooooood!!!! Leo ni cku ya kuzaliwa mama yangu mzazi,,, tukiwa tunakata cake napigiwa simu nimepata mtoto wakiume... yani kazaliwa siku moja na bibi yake,,! Hao apo wamezaliwa leo... Asante Mungu..
10 years ago
Bongo508 Sep
Exclusive Pics: Mchumba wa Nay wa Mitego, Siwema ni mjamzito tena!
Baada ya kuharibika kwa mimba ya kwanza ya mchumba Nay Wa Mitego, Siwema, hatimaye mwanadada huyo anatatarajia kuwa mama tena na anatarajia kujifungua hivi karibuni. Nay wa Mitego akiwa na mpenzi wake Siwema “Umemuona mama kijacho,” Nay alimwambia wa Bongo5 baada ya kutembelewa na mpenzi wake katika uwanja ndege wa Mwanza akijiandaa kuekelea Dar es […]
11 years ago
GPL10 years ago
Bongo514 Sep
Exclusive: Nay wa Mitego amzawadia studio mpya producer wake Mr T Touch inaitwa ‘Free Nation Production’
Nay wa Mitego amesema baada ya kukamilisha ujenzi wa studio yake mpya iitwayo ‘Free Nation Production’ ameamua kumkabidhi producer wake Mr T Touch kama zawadi kutokana na kazi ambayo amekuwa akimfanyia katika muziki wake. Akizungumza na Bongo5 jana, Nay amesema kuwa ameamua kufanya hivyo baada ya kuona kuwa muziki unazaolishwa na producer huyo unamwingizia pesa […]
10 years ago
Bongo530 Aug
Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’
Kwa mtu ambaye tayari ameiona video mpya ya Nay Wa Mitego, ‘Mr Nay’ huenda swali la kwanza ambalo atajiuliza mara baada ya kuitazama au akipata nafasi ya kukutana na Nay atamuuliza ni ‘hiyo concept ya video, zile damu damu na ‘mask’ za kutisha, minyororo na hizo sign zote zina maana gani?’ Mara nyingi au mara […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania