Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC ajisalimisha, asema hawezi kugoma

MKUU wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, Mrisho Gambo amejisalimisha kwenye Baraza la Maadili kwa Viongozi wa Umma jana alfajiri jijini Dar es Salaam baada ya Polisi juzi kuamriwa kumkamata. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam mbele ya Baraza la Maadili kwa Watumishi wa Umma, lililokuwa limekaa kusikiliza mashauri mbalimbali ya viongozi wa umma yaliyowasilishwa na Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma, Gambo alisema taarifa za mwito huo hakuzipata.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TIBAIJUKA ASEMA HAWEZI KUJIUZULU


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka akizungumza na waandishi wa habari kwenye hotel ya Hyatt Regency Dar Es Salaam, The Kilimanjaro  
.
Dar es Salaam,
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Profesa Anna Tibaijuka,amekutana na waandishi wa habari na kuzungumzia sakata la Akaunti ya Escrow,huku akisema haoni sababu ya yeye kujiuzulu kutokana na kudaiwa kuhusika katika sakata hilo.

 Alisema hawezi kufikia uamuzi wa kujiuzulu kwa kuwa hana kosa kwani...

 

10 years ago

GPL

NISHA ASEMA HAWEZI KUMRUDIA NAY WA MITEGO

Gladness Mallya
MWANADADA anayefanya vizuri kwenye tasnia ya filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka na kusema hawezi kumrudia aliyekuwa mpenzi wake, msanii Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. Salma Jabu ‘Nisha’. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki, Nisha alisema amelazimika kutoa ufafanuzi huo baada ya kuenea kwa uvumi kuwa ana mpango wa kurudiana naye, jambo alilosema...

 

11 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CHADEMA WANGAMA AJISALIMISHA CCM, ASEMA WENGI WAKO NYUMA YAKE‏

Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa Bw. Godfrey Mgimwa akimpongeza Bw. Mwenyekiti wa CHADEMA katika kijiji cha Wangama Bw, John Mgata mara baada ya kurejea CCM katika mkutano huo uliofanyika kijijini hapo leo.  …

 

11 years ago

GPL

MILLEN HAPPINESS MAGESE: ASIMULIA AMBAVYO HAWEZI KUBEBA UJAUZITO, ASEMA YUPO TAYARI KUASILI

Millen Happiness Magese. Na Martha Mboma
(ANAJIANDAA, anaonekana kuwa ni mtu mwenye hisia sana kabla ya kuanza kuzungumza, anamuuliza jambo Lucy Ngongoseke maarufu kwa jina la Lucy Kiwele ambaye anamwambia ajikaze azungumze, baada ya sekunde kadhaa anaanza kujielezea…) Naitwa Millen Happiness Magese ni mrembo wa Tanzania na Miss Tanzania wa mwaka 2001, kwa sasa nafanya kazi za mitindo nchini Marekani, kabla sijafika...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS KENYATTA NAYE AKUBALI YA JPM, ASEMA HAWEZI KUENDELEA KUCHUKUA HATUA ZA WAKENYA KUKAA NDANI MILELE


Rais Uhuru Kenyatta wa KenyaHaki miliki ya pichaAFPImage captionRais Uhuru Kenyatta wa KenyaRais Uhuru Kenyatta ametangaza mipango ya kusaidia biashara na raia kusonga mbele katika kipindi hiki cha mdororo wa kiuchumi kwasababu ya janga la virusi vya coronaRais amehutubia taifa kutoka Ikulu ya rais, Nairobi na kusema kwamba mipango hiyo itagharimu shilingi bilioni 53.7.Katika hotuba yake, rais alisema pesa hizo zitagawanywa katika sekta muhimu kama vile miundo mbinu, elimu, biashara ndogo ndogo na za wastani, afya,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

DC Gambo ajisalimisha

HATIMAYE Mkuu wa Wilaya (DC), wa Korogwe mkoani Tanga, Mrisho Gambo, amejisalimisha kwenye Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dar es Salaam baada ya kutolewa amri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwema ajisalimisha uraiani

ALIYEKUWA Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Said Mwema, amewataka Watanzania wampokee vizuri anapoingia uraiani baada ya kumaliza muda wake wa utumishi. Utawala wa Mwema ulitiwa doa na matukio...

 

9 years ago

Global Publishers

Nay ajisalimisha TRA

NayWaMitegoMbongo Fleva Emmanuel Eribaliki ‘Nay wa Mitego’.

MUSA MATEJA

KUFUATIA kasi ya utumbuaji majipu wa Rais DK. John Pombe Magufuli kuendelea kutia hofu kwa wenye mali, Mbongo Fleva Emmanuel Eribaliki ‘Nay wa Mitego’, juzikati alijikuta akijisalimisha kwa kuanika baadhi ya mali zake halali, hasa magari na kuwaita maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kumkagua muda wowote.

NYUMBANI KWAKE Nay aliyasema hayo Januari 4, mwaka huu nyumbani kwake Kimara ya Korogwe jijini Dar mara baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani